Mama Brian
JF-Expert Member
- Feb 7, 2010
- 320
- 21
Dah! kama ni kweli basi inasikitisha sana. Mimi na moyo bana...sina jiwe. Siwezi kabisa kuwa katili kwa mtoto mdogo. Sijui mijitu mingine imeumbwaje tu.
binafsi sipendi mambo ya umama na utoto wa kambo.....kwa sababu hata kama mtoto akiwa mwema vipi mama wa kambo anawezasaka mapungufu yake na hata mama wa kambo akiwa mwema vipi mtoto anasaka mapungufu...so its horibo
mix with yours
Mpaka kwanza ukae naye. Ndiyo utoe comments. Soma comments za Kwapani. Ameweka kila kitu mle.
Mtazamo wako ni mzuri sana...
Kwa umri wa huyo mtoto (miaka 8) bado hawezi kusaka mapungufu ya mama wa kambo.
Matatizo yanayotokana na mtoto wa kambo ni machache sana ukulinganisha na yale ya mama. Ninauzoefu na hayo mambo kwa kuwa nimeishi na mama wa kambo kwa miaka 16. wakati mwingine ukumwamkia tu asubuhi anajibu "kamwamkie mama yako"
tatizo baadhi ya baba wa kambo huwa wanatafuna ma binti wa kambo wakikua....Huwa bora baba wa kambo kuliko mama wa kambo.........kwa Tanzania.