Kumfuata Mnyama Porini na kumuuwa ili upige picha..... ukatili.
Ni sawa na mtu akufuate nyumbani kwako na akupige risasi na mwisho apige picha.....
![]()
Kama ana kibali hamna tatizo.Richard, hivi ni wewe ninaye kufahamu au hiyo ni kazi ya photoshop? Unaidhalilisha elimu yako.
Tiba.
Richard, hivi ni wewe ninaye kufahamu au hiyo ni kazi ya photoshop? Unaidhalilisha elimu yako.
Tiba.
Tunapenda kulalamika sana,wakati huko vijijini watu wanafukuzana na digidigi,mashambani wanaua nguruwe pori wasiharibu mazao,kuua kwa kutumia bunduki na mshale au kupiga rungu hamna tofauti.
Africa sidhani kama haki ya wanyama inazingatiwa kwanza,mtu anachomoa tu manati anampiga njiwa au sungura.
Kumfuata Mnyama Porini na kumuuwa ili upige picha..... ukatili.
Ni sawa na mtu akufuate nyumbani kwako na akupige risasi na mwisho apige picha.....
![]()
......wazugu wengi wanakuja kwa ajili ya hii kitu.....tusimshangae huyu nadhani angekuwa mzungu wala tusingelaumu
Wakuu............huu ni utalii wa UWINDAJI...... na unaratibiwa kabisa na maafisa wa wanyama pori.....na ni njia mojawapo ya kupunguza wanyama......waliozidi.....maranyingi wanyama wanaouliwa ni ...wazeee....wagonjwa.....waliojeruhiwa nk....na unakuta kila myama ana bei yake.....naamaanisha kupiga na kuuwa.......kuna kwa mfano unakuta labda msimu Fulani idadi ya mfano nyumbu inakuwa kubwa saana mpaka kutishia uhai wa wanyama wengine njia pekee ni kuwapunguza kwa kuwawinda.....tambueni,.....watu hawaruhusiwi kuwinda kwenye Natinal Park....ni kwenye mapori ya akiba TU......wazugu wengi wanakuja kwa ajili ya hii kitu.....tusimshangae huyu nadhani angekuwa mzungu wala tusingelaumu