huu ni umaskini au kutojali na kuthamin maisha?

Komeo

JF-Expert Member
May 3, 2011
2,475
1,500
Hizi pikipiki za mchina mbona balaa. Asubuhi nimeona nyingine humuhumu imebeba watu wawili na ng'ombe kapakatwa kwa katikati!
 
Top Bottom