Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

Imebainika kuwa njama za kumtoa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda zilianza Bungeni kwa kuratibiwa na baadhi ya wabunge wanaohusishwa na mtandao wa dawa za kulevya.

Katika kudhibitisha hili, walifanya kikao Dodoma kilichohusisha baadhi ya wabunge na kukubaliana kuunganisha nguvu na wafanyabiashara na Viongozi wa Dini waliohusishwa na biashara ya Dawa za kulevya.

UTEKELEZAJI WAKE :-
1. Walikubaliana kuungana na baadhi ya viongozi wa ukawa ambao hapo awali walikuwa mahasimu wao kisiasa, zoezi lililoratibiwa na mbunge mmoja ambae ni mtoto wa kiongozi mstaafu, rejea picha za matukio mbalimbali wakati wa mechi ya simba na yanga (zoezi lilifanikiwa)

2. Kuwaunganisha kwenye mtandao wafanyabiashara wakubwa waliotajwa na Makonda pamoja na kumuunganisha Askofu mmoja alietuhumiwa kujihusisha na mtandao wa dawa za kulevya, lengo la kuwaunganisha hawa ni kupata ufadhili wa fedha za kutosha, rejea kauli za baba askofu akidhibitisha kujizatiti kumuondoa Makonda Dar (zoezi lilikamilika)

3. Kushawishi marafiki wakubwa wa makonda ambao walikuwa wakimsaidia Makonda katika vita ya dawa za kulevya kwa kuwarubuni kumgeuka makonda na kuungana katika kambi yao kwa makubaliano kuwa makonda akiondoka Dar watashinikiza kupatikana kwa mkuu wa mkoa ambae atakuwa hana purukushani za dawa za kulevya, udhibitisho wa hili ni RUGE KUMGEUKA MAKONDA(zoezi limefanikiwa)

4. Kutumia baadhi ya mawaziri ambao watu wao walijeruhiwa kwenye kampeni za uchaguzi na kuwaingiza kwenye mtandao wa kumtoa Makonda Dar, ushahidi wa hili ni alliance ya Mgombea wa Urais kutoka Lindi, mahusiano yake na waziri ambae amejitoa Muhanga kumpinga Makonda hadharani.(zoezi lilikamilika tangu dodoma)

5. Kutengeneza tukio ambalo litamfanya makonda apate aibu mjini, kisha wamtake makonda aaibike, wakishapanga mtego mmoja makonda akaujuaga mida ya nyuna akukwepa, sasa hili tatizo la makonda kwenda CLOUDS usiku lilivyotokea wakaamua KUKANYAGIA HAPO HAPO.

6. Kuwashawishi baadhi ya wabunge wa chama tawala kutoa vitisho kama Makonda hataondolewa kwenye ukuu wa mkoa basi watajiuzulu , ushahidi wa hili ni post ya face book ya mhe Kingu(zoezi lilifanikiwa)

HITIMISHO
-Jiulize tangu lini clouds na mmiliki wa ipp walishakuwa na mahusiano ya karibu kama juz?

- Jiulize tangu lini EFM na CLOUDS walishakuwa marafiki?

- Jiulize tangu lini Askofu alishawai kukaa karibu na CLOUDS?

- Jiulize tukio linalotajwa la uvamizi limetokea ijumaa, kelele zimeanza kupigwa Jumatatu hii ni baada ya hawa mabwana kukutana jumamosi na kufanya kikao cha pamoja jumaosi na jumapili hela ikatoka kanisani kwa askofu kwa kazi maalum Jumatatu.

-Jiulize hiyo jumatatu jamaa kafanya mahijiano live asubuhi, kisha saa nne asubuhi Mhe waziri anatinga CLOUDS akiwa na mzee wa ipp, na hapo hapo kamati ya huduma za bunge inakwenda CLOUDS mchana huo huo?

-Jiulize kwa nini wote wameshinikiza Makonda aondolewe Dar?
Na mwisho kabisa, baada ya Mhe Rais Dkt. John Magufuli kustukia njama zao kutokana na kuwa na kikosi imara cha ujasusi katika maeneo mbalimbali akawabomoa LIVE bila chenga pale ubungo wakati wa uzinduzi wa mradi wa flyover.

TUKIDHANI WATAMUELEWA MHE RAIS WAMEGOMA NA KUMSHAWISHI MHE WAZIRI KUUNDA KAMATI WAKATI WANAJUA MHE RAIS AKISHAONGEA MJADALA UMEKWISHA, LAKINI WAO WAMEAMUA SASA KUPAMBANA NA NGUVU ZA MHE RAIS KWA KUSHINIKIZA BAADHI YA WABUNGE WAJIONDOE KWENYE NYADHIFA ZAO.

TUMEWAJUA NA TUTAPAMBANA TULIENI MTAONA.
Nimekukubali tu hiyo sentensi ya mwisho. Wapo wengi wanaochukia uovu na watasimama upande wa Serikali hadi mwisho.
Jiulize tena Tangu lini SUGU na RUGE wakawa marafiki?
Nani hakumbuki kiapo cha Sugu juu ya Ruge kumuibia dili la vyandarua Sugu.
Eti Chadema leo wanapost picha ya mheshimiwa wazili na kumuita mashujaa mtu ambaye wakati akiwa mwenezi kila mwana chadema alimuona kichefuchefu.
Nani amesahau sakata la Lowasa la Richmond kwamba lilianzia Bungeni kutoka kundi hilohilo leo linapigana na Makonda.
Kuna mtandao hatari kuliko madawa ya kulevya?
Hii ni hatari sana.
Ninachoshukuru Nchi ya Tanzania ipo tofauti sana na nchi nyingine ambazo muda huu hilo kundi lingekuwa limefanikiwa zamaaaaani.
Bora mkishawabaini wasaliti ni kuwatumbua tu, kwanza vijana wengi wana njaa ya kazi wakisusa wapo wazalendo wengine wataongoza nchi.
Hivi tukiuliza kwa undani kipi kikubwa alichofanya Makonda kuliko magaidi, wabakaji, wauaji wa albino n.k mbona katika hayo hatuoni nguvu ikiungana makundi yote kukomesha uhalifu.
Nachelea kusema ni kweli huu unaofanya na kikundi hicho ni "umafia kama sio uhaini".
MWACHENI RAIS ASOGEZE TAIFA MBELE MAANA YOTE AFANYAYO NI KWA FAIDA YA WANANCHI SIO YEYE BINAFSI.
 
Nonsense eti kilianza toka bungeni,kwa hiyo ndo waliomtuma awaataje watu alafu huku akitumia Mali zao kama magari,au ndo waliomwambia avamie cloud TV
 
Upambane na nani??

Watu wanataka vyeti baada ya vyeti ndio utake mapambano

Hatupambani na mabashite / maziro
 
Kuna watu tunaingia kwenye hii vita bila utashi wowote,
Ukweli ni kwamba hii ni vita ya Drug lords na Makonda,
Uzuri Rais ameshabaini,
 
Nimekukubali tu hiyo sentensi ya mwisho. Wapo wengi wanaochukia uovu na watasimama upande wa Serikali hadi mwisho.
Jiulize tena Tangu lini SUGU na RUGE wakawa marafiki?
Nani hakumbuki kiapo cha Sugu juu ya Ruge kumuibia dili la vyandarua Sugu.
Eti Chadema leo wanapost picha ya mheshimiwa wazili na kumuita mashujaa mtu ambaye wakati akiwa mwenezi kila mwana chadema alimuona kichefuchefu.
Nani amesahau sakata la Lowasa la Richmond kwamba lilianzia Bungeni kutoka kundi hilohilo leo linapigana na Makonda.
Kuna mtandao hatari kuliko madawa ya kulevya?
Hii ni hatari sana.
Ninachoshukuru Nchi ya Tanzania ipo tofauti sana na nchi nyingine ambazo muda huu hilo kundi lingekuwa limefanikiwa zamaaaaani.
Bora mkishawabaini wasaliti ni kuwatumbua tu, kwanza vijana wengi wana njaa ya kazi wakisusa wapo wazalendo wengine wataongoza nchi.
Hivi tukiuliza kwa undani kipi kikubwa alichofanya Makonda kuliko magaidi, wabakaji, wauaji wa albino n.k mbona katika hayo hatuoni nguvu ikiungana makundi yote kukomesha uhalifu.
Nachelea kusema ni kweli huu unaofanya na kikundi hicho ni "umafia kama sio uhaini".
MWACHENI RAIS ASOGEZE TAIFA MBELE MAANA YOTE AFANYAYO NI KWA FAIDA YA WANANCHI SIO YEYE BINAFSI.
wee mbwigaaa wanaume hatunaga visirani au vinyongo kama wanawakee usituletee ujuaji wako wa kutetea maovu
 
Daudi alishaondolewa kwenye "Madawa ya kulevya" siku Nyingi sana. Alipoteuliwa Mtaalamu kamishna Rogers Siang'a.

Na je Bila Daudi , Tanzania haiwezi kupambana na Madawa ya kulevya?

Tukio limetokea Ijumaa, ni kawaida kwa Ruge kuomba msaada wa ushauri kutoka MOAT Kabla ya kukurupuka kulalamika. Hii inaonyesha Ruge YUPO Makini. NI swala la kuPANGA
Imeandikwa wapi vyombo vya habari viwe na UADui?

Nashangaa Li Tibii sio(Tuberculosis) halikuwepo hapo kutoa Pole. Na hii ni kiashiria kua Daudi anabaraka zote za kufoji cheti na kunyanyasa watanzania..
 
Mkuu umejitahidi kuandika ila ndugu yenu hasafishiki.

Kaichafua serikali nzima, watu hawana imani na raisi wala taasis zake. Watu wanavumila tu kufanya kazi na ho ndugu zako ila hawawapendi
Wakikupenda wewe haitoshi?kazi na mapenzi= mlenda na chai!
 
TEAM PAUL MAKONDA FOR LIFE....COME SUN COME RAIN....MUNGU YUKO UPANDE WETU.

NA WOTE TUSEME AMEN.
 
Shida ya kufikiria kwakutumia matako ndio hii. Hata mtumie jiki DOGO atabaki kuwa mchafu tuu
 
Imebainika kuwa njama za kumtoa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda zilianza Bungeni kwa kuratibiwa na baadhi ya wabunge wanaohusishwa na mtandao wa dawa za kulevya.

Katika kudhibitisha hili, walifanya kikao Dodoma kilichohusisha baadhi ya wabunge na kukubaliana kuunganisha nguvu na wafanyabiashara na Viongozi wa Dini waliohusishwa na biashara ya Dawa za kulevya.

UTEKELEZAJI WAKE :-
1. Walikubaliana kuungana na baadhi ya viongozi wa ukawa ambao hapo awali walikuwa mahasimu wao kisiasa, zoezi lililoratibiwa na mbunge mmoja ambae ni mtoto wa kiongozi mstaafu, rejea picha za matukio mbalimbali wakati wa mechi ya simba na yanga (zoezi lilifanikiwa)

2. Kuwaunganisha kwenye mtandao wafanyabiashara wakubwa waliotajwa na Makonda pamoja na kumuunganisha Askofu mmoja alietuhumiwa kujihusisha na mtandao wa dawa za kulevya, lengo la kuwaunganisha hawa ni kupata ufadhili wa fedha za kutosha, rejea kauli za baba askofu akidhibitisha kujizatiti kumuondoa Makonda Dar (zoezi lilikamilika)

3. Kushawishi marafiki wakubwa wa makonda ambao walikuwa wakimsaidia Makonda katika vita ya dawa za kulevya kwa kuwarubuni kumgeuka makonda na kuungana katika kambi yao kwa makubaliano kuwa makonda akiondoka Dar watashinikiza kupatikana kwa mkuu wa mkoa ambae atakuwa hana purukushani za dawa za kulevya, udhibitisho wa hili ni RUGE KUMGEUKA MAKONDA(zoezi limefanikiwa)

4. Kutumia baadhi ya mawaziri ambao watu wao walijeruhiwa kwenye kampeni za uchaguzi na kuwaingiza kwenye mtandao wa kumtoa Makonda Dar, ushahidi wa hili ni alliance ya Mgombea wa Urais kutoka Lindi, mahusiano yake na waziri ambae amejitoa Muhanga kumpinga Makonda hadharani.(zoezi lilikamilika tangu dodoma)

5. Kutengeneza tukio ambalo litamfanya makonda apate aibu mjini, kisha wamtake makonda aaibike, wakishapanga mtego mmoja makonda akaujuaga mida ya nyuna akukwepa, sasa hili tatizo la makonda kwenda CLOUDS usiku lilivyotokea wakaamua KUKANYAGIA HAPO HAPO.

6. Kuwashawishi baadhi ya wabunge wa chama tawala kutoa vitisho kama Makonda hataondolewa kwenye ukuu wa mkoa basi watajiuzulu , ushahidi wa hili ni post ya face book ya mhe Kingu(zoezi lilifanikiwa)

HITIMISHO
-Jiulize tangu lini clouds na mmiliki wa ipp walishakuwa na mahusiano ya karibu kama juz?

- Jiulize tangu lini EFM na CLOUDS walishakuwa marafiki?

- Jiulize tangu lini Askofu alishawai kukaa karibu na CLOUDS?

- Jiulize tukio linalotajwa la uvamizi limetokea ijumaa, kelele zimeanza kupigwa Jumatatu hii ni baada ya hawa mabwana kukutana jumamosi na kufanya kikao cha pamoja jumaosi na jumapili hela ikatoka kanisani kwa askofu kwa kazi maalum Jumatatu.

-Jiulize hiyo jumatatu jamaa kafanya mahijiano live asubuhi, kisha saa nne asubuhi Mhe waziri anatinga CLOUDS akiwa na mzee wa ipp, na hapo hapo kamati ya huduma za bunge inakwenda CLOUDS mchana huo huo?

-Jiulize kwa nini wote wameshinikiza Makonda aondolewe Dar?
Na mwisho kabisa, baada ya Mhe Rais Dkt. John Magufuli kustukia njama zao kutokana na kuwa na kikosi imara cha ujasusi katika maeneo mbalimbali akawabomoa LIVE bila chenga pale ubungo wakati wa uzinduzi wa mradi wa flyover.

TUKIDHANI WATAMUELEWA MHE RAIS WAMEGOMA NA KUMSHAWISHI MHE WAZIRI KUUNDA KAMATI WAKATI WANAJUA MHE RAIS AKISHAONGEA MJADALA UMEKWISHA, LAKINI WAO WAMEAMUA SASA KUPAMBANA NA NGUVU ZA MHE RAIS KWA KUSHINIKIZA BAADHI YA WABUNGE WAJIONDOE KWENYE NYADHIFA ZAO.

TUMEWAJUA NA TUTAPAMBANA TULIENI MTAONA.

Ahsante kwa uchambuzi duni kabisa. Niambie tukio lolote ambalo Bw Makonda kasingiziwa???
Elewa swala la dawa za kilevya alilivamia bila kuwa na mamlaka ya kisheria ndiyo maana mkuu wetu kalikabidhi kwa Tume ya Sianga lishughulikiwe kwa misingi ya kisheria na siyo utashi wa mtu!!!!!!!!!!!!
Leta hoja nyingine kama ipo pls.
 
Upupu mtupu. Mimi Nadhani kigezo kimoja wapo cha kujiunga JF iwe kupimwa akili
 
Nonsense eti kilianza toka bungeni,kwa hiyo ndo waliomtuma awaataje watu alafu huku akitumia Mali zao kama magari,au ndo waliomwambia avamie cloud TV
Soma vizuri hiyo taarifa uelewe. Huo ndio ukweli, bunge lishamuazimia Makonda achishwe kazi.
Waziri mmoja aliwatahazalisha wabunge kua mnaingilia kazi ya Rais wakambeza
Madawa Bungeni!!??!?!!!!?????
Hata nilimshangaa waziri badala ya kutoa pole kwanza kwa Clouds anamlaanu Matendo ya mkuu wa mkoa kwa nguvu zote kabla hata hajaunda tume kupata ukweli .Ni hatari sana.
 
Imebainika kuwa njama za kumtoa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda zilianza Bungeni kwa kuratibiwa na baadhi ya wabunge wanaohusishwa na mtandao wa dawa za kulevya.

Katika kudhibitisha hili, walifanya kikao Dodoma kilichohusisha baadhi ya wabunge na kukubaliana kuunganisha nguvu na wafanyabiashara na Viongozi wa Dini waliohusishwa na biashara ya Dawa za kulevya.

UTEKELEZAJI WAKE :-
1. Walikubaliana kuungana na baadhi ya viongozi wa ukawa ambao hapo awali walikuwa mahasimu wao kisiasa, zoezi lililoratibiwa na mbunge mmoja ambae ni mtoto wa kiongozi mstaafu, rejea picha za matukio mbalimbali wakati wa mechi ya simba na yanga (zoezi lilifanikiwa)

2. Kuwaunganisha kwenye mtandao wafanyabiashara wakubwa waliotajwa na Makonda pamoja na kumuunganisha Askofu mmoja alietuhumiwa kujihusisha na mtandao wa dawa za kulevya, lengo la kuwaunganisha hawa ni kupata ufadhili wa fedha za kutosha, rejea kauli za baba askofu akidhibitisha kujizatiti kumuondoa Makonda Dar (zoezi lilikamilika)

3. Kushawishi marafiki wakubwa wa makonda ambao walikuwa wakimsaidia Makonda katika vita ya dawa za kulevya kwa kuwarubuni kumgeuka makonda na kuungana katika kambi yao kwa makubaliano kuwa makonda akiondoka Dar watashinikiza kupatikana kwa mkuu wa mkoa ambae atakuwa hana purukushani za dawa za kulevya, udhibitisho wa hili ni RUGE KUMGEUKA MAKONDA(zoezi limefanikiwa)

4. Kutumia baadhi ya mawaziri ambao watu wao walijeruhiwa kwenye kampeni za uchaguzi na kuwaingiza kwenye mtandao wa kumtoa Makonda Dar, ushahidi wa hili ni alliance ya Mgombea wa Urais kutoka Lindi, mahusiano yake na waziri ambae amejitoa Muhanga kumpinga Makonda hadharani.(zoezi lilikamilika tangu dodoma)

5. Kutengeneza tukio ambalo litamfanya makonda apate aibu mjini, kisha wamtake makonda aaibike, wakishapanga mtego mmoja makonda akaujuaga mida ya nyuna akukwepa, sasa hili tatizo la makonda kwenda CLOUDS usiku lilivyotokea wakaamua KUKANYAGIA HAPO HAPO.

6. Kuwashawishi baadhi ya wabunge wa chama tawala kutoa vitisho kama Makonda hataondolewa kwenye ukuu wa mkoa basi watajiuzulu , ushahidi wa hili ni post ya face book ya mhe Kingu(zoezi lilifanikiwa)

HITIMISHO
-Jiulize tangu lini clouds na mmiliki wa ipp walishakuwa na mahusiano ya karibu kama juz?

- Jiulize tangu lini EFM na CLOUDS walishakuwa marafiki?

- Jiulize tangu lini Askofu alishawai kukaa karibu na CLOUDS?

- Jiulize tukio linalotajwa la uvamizi limetokea ijumaa, kelele zimeanza kupigwa Jumatatu hii ni baada ya hawa mabwana kukutana jumamosi na kufanya kikao cha pamoja jumaosi na jumapili hela ikatoka kanisani kwa askofu kwa kazi maalum Jumatatu.

-Jiulize hiyo jumatatu jamaa kafanya mahijiano live asubuhi, kisha saa nne asubuhi Mhe waziri anatinga CLOUDS akiwa na mzee wa ipp, na hapo hapo kamati ya huduma za bunge inakwenda CLOUDS mchana huo huo?

-Jiulize kwa nini wote wameshinikiza Makonda aondolewe Dar?
Na mwisho kabisa, baada ya Mhe Rais Dkt. John Magufuli kustukia njama zao kutokana na kuwa na kikosi imara cha ujasusi katika maeneo mbalimbali akawabomoa LIVE bila chenga pale ubungo wakati wa uzinduzi wa mradi wa flyover.

TUKIDHANI WATAMUELEWA MHE RAIS WAMEGOMA NA KUMSHAWISHI MHE WAZIRI KUUNDA KAMATI WAKATI WANAJUA MHE RAIS AKISHAONGEA MJADALA UMEKWISHA, LAKINI WAO WAMEAMUA SASA KUPAMBANA NA NGUVU ZA MHE RAIS KWA KUSHINIKIZA BAADHI YA WABUNGE WAJIONDOE KWENYE NYADHIFA ZAO.

TUMEWAJUA NA TUTAPAMBANA TULIENI MTAONA.
Ni mjinga tu ndo ataweza kuamini huu uzi kuwa ni wa kweli
 
Kuna mijitu fuata upepo kipindi Lowasa anaandamwa yalidakia hoja yakashadadia kweli ajiuzulu, haya amejiuzulu mlipata nini?
Leo walewale kama nyumbu eti hatutaki kusikia lolote bali Makonda ajiuzulu halafu akijiuzulu iweje kwako?
Kuna watu wameanzisha ngoma wengine wamesikia mlio wanafuata tu km nyumbu.
Kwani Mkuu wa mkoa akiwa na ulinzi, kuna sheria imeweka mipaka kwamba akienda Clouds tu wale walinzi wabaki nje yeye angieni peke yake, hii dhana ni kwa wapumbavu tu ndio hawaoni ishu iliyotengenezwa.
Sehemu zote walinzi walipoingia walibaki nje na kumuacha mkuu wa mkoa ndani peke yake?
Hao Clouds watuwekee mwendelezo wa video inayoonyesha akiwa ndani kwa Shilawadu aliwatishia au akiwa nje aliwatishia. Video iliyopo inaonyesha tu akiingia na kutoka.
Stupid propaganda.
 
huu urojo wa tandale kwa mfuga mbwa umeingiaje humu kha, tutolee uchafu wako tafadhali
 
Naona Mkuu unajitahidi kutoa harufu ya mkojo kwa kutumia kinyesi akili yako ipo kwenye mfumo wa zero
 
Ni kivipi kamugeuka maana mimi sielewi au Makonda hakosei na akikosea asisemwe! Huo uzi wako hauna mashiko hata kiduchu.
 
Back
Top Bottom