sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,292
Unakuta mtu anaendesha gari wakati wa jioni/usiku anapita mjini kwenye magari mangine meeengi, pikipiki, baiskeli na watumiaji wengine wa barabara kibaaoo..tena kuna taa nyingi tu pembezoni na barabara inaonekana vizuri kabisa...lakini unakuta LIJITU LINAPITA NA GARI LIMEWASHA TAA FULL!! afu hata hajali wenzake wanapomtaarifu juu ya hilo...kwa nini uwashe taa FULL mahali ambapo kuna watumiaji wengine wengi wa barabara...kwa nini uwashe taa FULL mjiniiii kabisaaa..mi huwa nakereka sana na hili..yaaani wanaboa sana watu hawa..mtu nakumulika mpaka unankuwa hata mbele huoni kabisa afu yee waalaaaa....hivi ni nini haswa sababu....???