Inategemeana na ukubwa wake, umeme huisha muda mfupi tu baada ya kumvua( 2 to 3 minutes)Iko kiwango cha umeme hakuna jinsi yoyote tunaweza kuki-extract tukatengeza umeme wa majumbani?
Wanamwita nyika au mnyika, watu wanamla kama kawa wakiamini anatibu magonjwa mbalimbali, kusema ndiyo chunusi hiyo ni big No kuna watu wamekufa kwenye vimito ambavyo huyo electric eel hayupo watu wamekufa baharini ambako huyo kiumbe haishi.anapatikana pia ziwa Tanganyika na inasemekana asili ya jina lake ndio lililozaa jina Tanganyika(lake)
Mkuu, hii ni chai. Uogelee kavu mpaka minazi ipotee? Wewe Zanzibar unaenda kwa miguu bila shaka.huyo sijui ni samaki ama kitu gani ila yupo mfano wa huyo nilimuona ufukwe wa mbezi aliingia katika wavu wavuvi wote watoka nje ya wavu sasa sikuelewa kwanini kilinuka baharini, wakasema kuna samaki yupo ndani ya nyavu sio ni muuaji yaani huyo akikugusa tu kwanza lazma uzame na ukiibuka ushadedi.
kingine nilichoshuhudia walifanikiwa kuzivuta zile nyav mpaka ufukweni na nilimuona samaki kama huyo apo, sasa haikupita dakika tatu akaanza kubadilika akawa mweusi kama mkaa ndio jamaa wakasema huyo samaki ana umeme akiwa ndani ya maji na ana sumu mbaya sana kinachombadilisha hapo na kumuua ni sumu yake mwenyewe.
Tangu ile siku nikapunguza kuogelea maji marefu maana nilikuwa na udwanzi fulani sio yaan naenda mbali kiasi mpaka ile minazi ufukweni inanipotea machoni nazuga zuga hukoo kisha narudi mdogo mdogo (kuna samaki flani wanapenda kucheza wanakuja wengi alafu wakikukaribia wanatawanyika kule katika maji mengi yanakuwa kama kioo unaona vizuri tu ndani ya maji, lakini tangu nimuone yule samaki aisee niliingiwa na uoga naogelea kwenye mchanga maji ya ugoko.
Mkuu, hii ni chai. Uogelee kavu mpaka minazi ipotee? Wewe Zanzibar unaenda kwa miguu bila shaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, unahatari sana wewe, umbali huo ni sawa na km 19 kutoka ufukweni. Kweli ulienda kote huko kwa kuogelea?Tangu ile siku nikapunguza kuogelea maji marefu maana nilikuwa na udwanzi fulani sio yaan naenda mbali kiasi mpaka ile minazi ufukweni inanipotea machoni nazuga zuga hukoo kisha narudi mdogo mdogo
Kuna uwezekano mkubwa hao samaki wadogo waliokuzunguka walikuja kukulinda na hatari ambayo wewe hukuiona.(kuna samaki flani wanapenda kucheza wanakuja wengi alafu wakikukaribia wanatawanyika kule katika maji mengi yanakuwa kama kioo unaona vizuri tu ndani ya maji, lakini tangu nimuone yule samaki aisee niliingiwa na uoga naogelea kwenye mchanga maji ya ugoko.
Sasa mkuu kuna haja gani ya kumalizia Ruzige wakati Id yako inayo hilo jinaMkunga ni mwingine kabisa.
"Ruzige"