Huu ni ukumbi au hekalu?

Huu ni ukumbi au hekalu?

Lupamba's grandson

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
1,230
Reaction score
1,199
Najaribu kutafakati embu na ww tazama, alafu umejengwa karibu pembeni mwa benk kuu idodomyaa. Cjui ziwe zinachotwa tuu. Ila cjajua ni kodi zetu au ni pesa za fomu za urais.
 

Attachments

  • 1436326191386.jpg
    1436326191386.jpg
    29.1 KB · Views: 1,334
mbona ni nyumba ya kawaida sana.
mi nikajua wameshusha gorofa hata 20,kumbe hall tu...
 
Halafu eti unategemea washindwe kwenye uchaguzi! thubutu!!!!
 
Najaribu kutafakati embu na ww tazama, alafu umejengwa karibu pembeni mwa benk kuu idodomyaa. Cjui ziwe zinachotwa tuu. Ila cjajua ni kodi zetu au ni pesa za fomu za urais.

Wakati chadema wakiendelea kupanga kwenye nyumba ya mtu miaka nenda rudi!! Mjifunze kufanya maendeleo siyo porojo
 
Back
Top Bottom