Huu ni ukristo?

Status
Not open for further replies.
Waislam wanatabia ya kuwazoea wakristo vibaya.
Ujue kama binadam uvumilivu ukiwashinda kwa vitendo vya waislam. Bado Nigeria nataman wafanye kama huko Africa ya kati

Hapana mkuu, Nigeria wanatakiwa kujifunza kwa Nelson Mandela, hapo ndio amani ya kweli itapatikana, jaribu kuangalia ile movie ya long walk to freedom, jamaaa walisamehe yote
 

wakristo walichoka kunyanyaswa na ujue kuwa hata waislamu waliofikia kupindua serikali walikuwa mamluki kutoka nhi zingine kama Niger....Ogopa sana mtu pole aliyechoka na manyanyaso anapoamua kukutolea uvivu
 
Wengine huw amnarukia ku Quote Qur'an, sidhani mnajua hata kama Quote mnazo Quote si kweli, sababu Qur'an sio Bibilia wengine hawaijui...Kwa tarifa yako Qur'an inasema hivi'
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…