Huu ni ukatili wa wanawake....

Wiyelelee

JF-Expert Member
Nov 9, 2012
1,071
347
Nimekuwa nikisema kwamba wanawake ni wakatili sana, nao wakaja juu na kusema kwamba eti wanaume ndo wakatili zaidi. Sasa haya anayafanya nani? Wanaume tunapigwa, tena kisawasawa tu, watoto ndo kama hivi mnavyojionea!

Ukati.jpg

Huko Salidalama juzi tu nimesoma kwenye gazeti/ na kusikia kwenye redio kwamba kitoto kiliokotwa maeneyo ya Tabata reli, chini ya daraja....Sasa wanawake watasema sisi ni wakatili?

Ukatili.jpg
 
mh! hiyo ya KITOTO KICHANGA inasikitisha na kutisha sana! kweli baadhi ya wanawake wengi ni wakatili sana ila siyo wote ndugu yangu! ila mara nyingi nao WANAUME wanachangia kwa kiasi kikubwa kuwabadilisha wanawake mioyo yao na kuwa ya ukatili
 
Back
Top Bottom