me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,356
Habari za muda huu wana Jf, siku kadhaa zilizopita kumekuwa na picha inasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na Huyo kaka aliekutwa ndani akiwa hivo.
Mm swali langu ni je huo ni ugonjwa gani? Au ushirikina? Au ukatili kafanyiwa daah yaani nikiiangalia hii Picha inanitia uchungu sana .. Wanadamu tumekuwa wakatili kiasi hiki. Anyway madocta na wataalamu wa afya njoeni mtujuze hili, na Mwenye kujua imetokea maeneo gani pia atujuze.
May his soul rest in piece