Huu ni ujinga!

James St. Patrick

Senior Member
Jun 23, 2011
162
62
kwanza naomba mniwie radhi, sikupenda kuandika hili ila imenilazimu! Kuna mwana jf mmoja kaweka link ya selection za tcu za mwaka jana anadai za mwaka huu! Huu ni ujinga kabisa kama huna cha kuandika ni bora kabisa ukiacha! Ukigoogle utampata huyo jamaa! Madogo wanasubiri matokeo yao kwa ham halafu mjinga anaandika pumba! F**k *!
 
Nakuunga mkono, lakini kutukana sio vizuri maana unapowasilisha mambo ya maana haitakiwa kufanya ujinga.
 
Back
Top Bottom