Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Tabu yote ya nini na aibu aliyopata hapo kama jamaa humuelewi unamchana sikutaki ๐Huyo dada mjanja hapo katengeneza mazingira ya kubania mzigo ๐๐๐
Tabu yote ya nini na aibu aliyopata hapo kama jamaa humuelewi unamchana sikutaki ๐Huyo dada mjanja hapo katengeneza mazingira ya kubania mzigo ๐๐๐
Labda wa maporini aiseee!! ๐คฃ๐คฃWewe Lamomy Wewe usiseme hivoo futa mdomo huoo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Kuna matapeli Wana pumzi za Kipchoge Lamomy.....yaani anahakikisha lazima ujae tu na bili utaclear na kujikimu utampa mwenyewe
Hao wadada nao ni wachunaji si umeona rangi vichwani ๐คฃ๐คฃ๐คฃTabu yote ya nini na aibu aliyopata hapo kama jamaa humuelewi unamchana sikutaki ๐
Ko hapo tuseme ajali kazini๐๐๐Hao wadada nao ni wachunaji si umeona rangi vichwani ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mbwa kala mbwa ๐๐๐Ko hapo tuseme ajali kazini๐๐๐
Aaah Lamooomy ๐Labda wa maporini aiseee!! ๐คฃ๐คฃ
Mimi kwanza nikienda sehemu lazima nibebe pesa ya dharura, halafu simu zangu hazikosi pesa, na zaidi card ya bank ni muhimu.!!
Nikiona mtu anajiuma uma kuclear bill nalipa zote sipendagi kero kabisaaa.!!
Halafu walaah!!! Naitoa kwa moyo mmoja wala simmind..!! ๐๐๐Aaah Lamooomy ๐
Utalipa ndio unataka toa aibu yako sidhani kama utaitoa Kwa Moyo...utatafuta tukio mujarabu irudi nacha usumbufu ๐คฃ๐คฃ
Kwa nini ukasirike hali ya kuwa chakula kinapita tumboni yaani hapo kwa hasira natafuna mpaka miba ya samaki๐๐๐Halafu walaah!!! Naitoa kwa moyo mmoja wala simmind..!! ๐๐๐
Umenena jambo la msingi sana. Tufunze watoto wetu wa kike kujitegemea na kuwa na tahadhari.tujenge jamii isio tegemezi.... malezi ni jambo la msingi sana kufundisha watoto kula au kutumia wanachoweza lipia kiufupi kukaa ndani ya uwezo wako......... na hii sio kwa wanawake tu hata vijana wengi wanapenda kitonga
A weee itakuwa umempenda Kwa Moyo si rahisi Kwa wadada... If you are basi HE IS LUCKY MAN masikhara pembeni HE Is Lucky ManHalafu walaah!!! Naitoa kwa moyo mmoja wala simmind..!! ๐๐๐
Si ndio hapo sasa ๐คฃ๐คฃ๐คฃKwa nini ukasirike hali ya kuwa chakula kinapita tumboni yaani hapo kwa hasira natafuna mpaka miba ya samaki๐๐๐
Mwenzio sina roho ya kimaskini nikwambie.!!A weee itakuwa umempenda Kwa Moyo si rahisi Kwa wadada... If you are basi HE IS LUCKY MAN masikhara pembeni HE Is Lucky Man
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ hebu mwambie mangi akupe fursana hapo halafu lipiaMwenzio sina roho ya kimaskini nikwambie.!!
Sina pesa za kutisha ila hizi ndogo za kuclear bill za dinner sijui lunch aaahh hizo ninazo bhana ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Sinywagi fursana ๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ hebu mwambie mangi akupe fursana hapo halafu lipia
Wifi kwann hutaki kwenda na rafiki yako?? ๐๐Yani kitu nachukia ni kuitwa sehemu niende na rafikiyangu na hata tukiwa tuna safari moja lkn lazima nimwambie aende tutakutana huko mbele
Aposto : Nini kimetokea ๐ ๐๐Nini kimetokea