Huu ni Ugonjwa(wadada) ama?

Maskini pole yake..

Mungu amsaidie apate tiba mana lile tumbo linauma balaa...
Yah manake akiumwa hata mi huwa nashikwa na ganzi aisee...so painful
aise pole yake , aende awaone wataalamu wa kina mama
Hata mi nafikiria hivyo....
Sawa bidada...ntakujulisha nikishamshauri hilo...
 
Pole yake, sina la kumwambia zaidi ya kwenda kumuona specialist wa wanawake maybe atasaidika
 
Sometimes hata yeye pia huzimia kwwa maumivu hayo ya tumbo...she informed
 
Sometimes hata yeye pia huzimia kwwa maumivu hayo ya tumbo...she informed

Yale maumivu achana nayo...yasikie tu mtu akikusimulia....unaumwa mpaka unatamani heri kufa kuliko hayo mateso ya kila mwezi..
 

Nimechoka kutype, nakuPM namba yangu ili umpe anipigie nimpe dawa iliyonisaidia mimi.
 
Najua hapa utapata michango mingi ila kule JF doctor ingepata michango michache ila ya kitaalamu ni mtazamo wng lkn samahani km utakua na makwazo ndani yake,mpe pole sn rafiki yako.
 
Kwa mzunguko wake huo wa hedhi kushika mimba ni ngumu,tatizo linatibika hilo,aonane na daktari wa magonjwa ya kina mama!
 
Zhao nimewatibu wengi na wamepona name baadhi yao walishapata mimba ni in box nitakusaidia doctor mm do that I will help um sure God alimuumba asipate masumbufu hayo she will get well soon
 
naomba kujulishwa japo centre moja ya tiba za asili inayoaminika kwa mkoa wa dar au moro. tatizo langu ni tafauti na hilo la bi dada
c.c Munkari, Tuko, Tutor B
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…