Ashapima vipimo vingi hajawahi kujua tatizo lake mkuu...tiba mbadala ni nzuri lakini hadi ajue tatizo manake yeye ni tumbo na damu nyingi kuvuja.Hapo kwenye red - BIG UP - Tatizo wabongo uzungu mwingi mno wakati tiba ziko kwenye mimea iliyotuzunguka. Apime ajue tatizo then tiba ni rahis sana kwenye hizo centre za tiba asilia.
Yupo Arusha mkuu...labda kama akienda Dar nitamshauri...by the way huyu ni dokta miti shamba au ?Huyo tatizo lake linatibika aende Tmk mwisho kwa dokta mpenda
Ni kweli lakini yeye ameshakata tamaa hasa kwa mahesabu ya kalenda nkPole sana kwa Dada lakini chini ya jua hakuna
kukata tamaa naamini ufumbuzi utapatikana.
Mh ngoja kwanza ajue shida ya tumbo lake na damu kwanza...thanksMumewe akafanye vipimo vya sperm count
Yaani nyakati za usiku akiumwa nikimpigia simu anakuwa kama amekata tamaa hivi hadi ananitisha kwakweli....ni shidaNi kazi kweliii pole yake
Hormonal imbalance? Chronic infections? Fibroids? au kitu chochte kingine...
Asikate tamaa. Kila anapoona chance pmya ya kwenda kuwaona madaktari afanye hivyo.
Wasiwasi wangu ni kuwa kwa hospitali tulizo nazo inaweza kuwa ngumu tatizo lake kuonekana kwa uhakika.
Mi namshauri atumie "natural products" zinazojulikana ku-harmonize body secretions lakini pia zinazoondoa maambukizi ya muda mrefu.
Uzuri wa miti shamba, nyingi ni viungo tunavyotumia kila siku kwa hiyo hazijawahi kuonyesha madhara hata ukitumia miaka kumi.
Vitu kama Tangawizi, mdalasini, iliki, karafuu na binzari ni dawa nzuri sana zikitumika regularly.
Lakini pia extracts za miti shamba siku hizi zinawekwa kama vidonge au capsules na huuzwa madukani.
Kama atapenda kutumia dawa zilizotengenezwa purely kutoka kwenye mimea na hajui pa kuzipata, mkuu ni PM nikupe directions
Pole sana kwake...
Mkuu Tutor B huyu dada kwa ninavyomjua ni mlokole..ninafahamiana nae tangu nipo form 2 zamani miaka ya 2000...hajihusishi kabisa na inshu za vijana wa sasa...na wakati yeye yupo form 2 aliumwa miezi miwili hadi wenzake walimtenga...shida ni hiyohiyo tumbo na damu...ingawa tumbo ndio linamsumbua sana wakati ule...Backgroud yake ni ipi?
Tangu alipopevuka alianza hivyo au ni baada ya kuanza kutumia njia za uzazi wa mpango. Nikijibiwa swali hili nitafunguka zaidi.
Shukrani kwa kushare...kwani hii THI bado inatoa huduma?ngoja nitafuatilia,....ngoja nitakuPM kwa kirefu zaidi nikishapata baadhi ya information...thanks ubarikiweMkuu hata mie niliwahi kuface tatizo kama hilo. Nilikwenda THI kuna specialist wa wanawake jina nimemsahau alinisadia sasa niko gado..
Mwambie huyo dada aende pale ingawa vipimo ni ghali sana!!!
Kwamba sperm za mume wake ndio chanzo cha tatizo la yeye kutokwa damu nyingi?
Mkuu Matola ni kweli JF imekuwa ya hovyo sana nowadays tofauti na kipindi kile lakini still kuna vichwa naviamini bado they can share good stuff from them...si unaona kama charminglady ashawahi kuwa na hili tatizo so she can help alot.
Otherwise niiweke pia Jukwaa lile la Doctor is it?
Mkuu Matola ni kweli JF imekuwa ya hovyo sana nowadays tofauti na kipindi kile lakini still kuna vichwa naviamini bado they can share good stuff from them...si unaona kama charminglady ashawahi kuwa na hili tatizo so she can help alot.
Otherwise niiweke pia Jukwaa lile la Doctor is it?
Shukrani kwa kushare...kwani hii THI bado inatoa huduma?ngoja nitafuatilia,....ngoja nitakuPM kwa kirefu zaidi nikishapata baadhi ya information...thanks ubarikiwe
shikamoooo
Yupo Arusha kwa sasa anafanyakazi. Huenda kweli ni tumbo la uzazi na homon inbalance...so ngoja kwanza hizo centre za tiba asilia zipo wapi kwa hapa Chuga?
Mkuu Tutor B huyu dada kwa ninavyomjua ni mlokole..ninafahamiana nae tangu nipo form 2 zamani miaka ya 2000...hajihusishi kabisa na inshu za vijana wa sasa...na wakati yeye yupo form 2 aliumwa miezi miwili hadi wenzake walimtenga...shida ni hiyohiyo tumbo na damu...ingawa tumbo ndio linamsumbua sana wakati ule...
Ila juzi kanidokezea kitu flani(nilivyomuuliza mambo ya kiimani) alisema labda ni mjomba ake manake kuna kitu wakati yupo mtoto aliwahi kufanyiwa...hakuniambia ni kipi so alisema ngoja ajaribu kumuulizia maza ake...anahisi labda huenda ndio ikawa source, ngoja nitajaribu kumuulizia ni kitu gani hicho halafu nitashare ikibidi.
Dah I wish ningemuelekeza kwa huyo Docta...namba zake unazo? Na gharama zake zipoje? Ingawa ye yupo Arusha lakini nitamwambia lots kuhusu madkatari wa Dar like huko ChanikaDuu inauma sana...Mm nilikua hi yo TNA sekondary hadi chuo..na nilikua napoteza fahamu kila nikiwa hedhi kwa maumivu ya tumbo...na natokwa na damu hadi week Tatu...nimetumia dawa nying mno..Ila mwaka Jana ndo nimepona baada ya kutibiwa na dokta mmoja yupo chanika no specialist wa wanawake anaitwa kapona...nw nipo safi na nablid siku Tatu tu