Vimemuanza lini ?Habari wana JF mwanangu yamemtoka mapele ya ajabu,
Wife amempeleka hospital Jmosi na anatumia dawa Ila bado vinamtoka
Naombeni msaada wenu Kwa anaeujua huu ugonjwa vzr.
Wengine wanasema ni Tetekuwanga Ila navoujua huu ugonjwa unatoka mwili mzima Ila yeye umemtoka kifuani, mgongoni na shingoni Tu .
Nimeplan ikibidi kesho twende tena hospital.
Karibu Kwa ushauriView attachment 2143429View attachment 2143430
Ameandika ni kifuani,mgongoni na shingoni tuVimemuanza lini ?
Je anavyo usoni hivyo vipele ?
Asante.
Tuwasiliane kwa namba hii 0678211747 Hata mimi mdogo wangu aliugua kwa muda mrefu lakini saiv amepona kabisaHabari wana JF mwanangu yamemtoka mapele ya ajabu,
Wife amempeleka hospital Jmosi na anatumia dawa Ila bado vinamtoka
Naombeni msaada wenu Kwa anaeujua huu ugonjwa vizuri.
Wengine wanasema ni Tetekuwanga Ila navoujua huu ugonjwa unatoka mwili mzima Ila yeye umemtoka kifuani, mgongoni na shingoni Tu .
Nimeplan ikibidi kesho twende tena hospital.
Karibu Kwa ushauri.
View attachment 2143429View attachment 2143430
Mtoto amepata chanjo zote za awali?
Je mtoto anapata homa, kujikuna, kukosa hamu ya kula n.k?
Kwa kutazama haraka inaonekana kama ni chicken pox (tetekuwanga), ni byema umfikishe mtoto hospitali kwa uchunguzi zaidi
Ikiwa sio tetekuwanga basi ni ugonjwa mmoja hivi wapare wanauita kiguma.
Ongea na wapare wa milimani, wiki tu mtoto amepona.
Atapewa dawa fulani ya asili apake na kumeza.
Hospitali utanunulishwa dawa hadi basi na huenda sizifae chochote.
Pole sana mkuu.