Hivi huu ni ugonjwa au ni mawazo?

Kizoda

Senior Member
Mar 5, 2022
130
296
Naombeni msaada wa mawazo Nina matatizo ya mgongo ambayo Mimi mwenyewe sielewi kama ni matatizo Kweli! ya mgongo au ya moyo au ya mawazo.

Nafanya leo ninaweza kusikia matatizo ya moyo yaani kuhisi kifuani kwangu Kuna kitu Na Kweli ila nikipotezea Na hisi kupona Tena Na kesho nikiamuka Tena Nahisi mgongoni kama Kuna maumivu makali saana nikipotezea maumivu Yale yanapotea au kuamia sehemu nyingine kama yalikuwa kwenye bega la kushoto linaamia kwenye bega la kiume nikilala Na kuamuka Nahisi mabegani kwangu Kuna tatizo yaani siwezi kunyanyua vizuri mkono nikifanya mazoezi Nahisi kupona.

Yaani nimekuwa nikiteseka Ivo Sasa sijui hivi huu ni ugonjwa au ni mawazo tu
 
Naombeni msaada wa mawazo Nina matatizo ya mgongo ambayo Mimi mwenyewe sielewi kama ni matatizo Kweli! ya mgongo au ya moyo au ya mawazo
Nafanya leo ninaweza kusikia matatizo ya moyo yaani kuhisi kifuani kwangu Kuna kitu Na Kweli ila nikipotezea Na hisi kupona Tena Na kesho nikiamuka Tena Nahisi mgongoni kama Kuna maumivu makali saana nikipotezea maumivu Yale yanapotea au kuamia sehemu nyingine kama yalikuwa kwenye bega la kushoto linaamia kwenye bega la kiume nikilala Na kuamuka Nahisi mabegani kwangu Kuna tatizo yaani siwezi kunyanyua vizuri mkono nikifanya mazoezi Nahisi kupona
Yaani nimekuwa nikiteseka Ivo Sasa sijui hivi huu ni ugonjwa au ni mawazo tu
Pole sana ndugu yangu hili tatizo Bora hata anayeishi na UKIMWI Sikutishi ni mhanga wa hili tatizo kwa miaka mingi wanafunzi linawapata sana ili tatizo wewe limekuanza lini?
 
Pole sana ndugu yangu hili tatizo Bora hata anayeishi na UKIMWI Sikutishi ni mhanga wa hili tatizo kwa miaka mingi wanafunzi linawapata sana ili tatizo wewe limekuanza lini?
Mwanzo nililipata likawa limetopea
Sasa siku hizi limerudi Tena
Yaani kwa jumla Nina Miezi 6 Nina tatizo hili
 
Back
Top Bottom