Huu ni ugonjwa au ni mawazo tu?

Kizoda

Senior Member
Mar 5, 2022
130
296
Naombeni msaada wa mawazo Nina matatizo ya mgongo ambayo Mimi mwenyewe sielewi kama ni matatizo Kweli! ya mgongo au ya moyo au ya mawazo.

Nafanya leo ninaweza kusikia matatizo ya moyo yaani kuhisi kifuani kwangu Kuna kitu Na Kweli ila nikipotezea Na hisi kupona Tena Na kesho nikiamuka Tena Nahisi mgongoni kama kuna maumivu makali saana nikipotezea maumivu yale yanapotea au kuamia sehemu nyingine kama yalikuwa kwenye bega la kushoto linaamia kwenye bega la kiume nikilala na kuamuka nahisi mabegani kwangu Kuna tatizo yaani siwezi kunyanyua vizuri mkono nikifanya mazoezi Nahisi kupona.

Yaani nimekuwa nikiteseka Ivo Sasa sijui hivi huu ni ugonjwa au ni mawazo tu
 
Pole mkuu, nenda hospital kwa uhakika zaidi
 
Ndio mzee mda mwingi ua nipo tu kitandani
Pambana Sana upate kazi yoyote ile ufanye siku ukipata Kazi itayokuweka bize hzo dalili zote hutazion
Ila inatakiwa upate kabla hyo Hali haujawah risk kwa afya yako punguza mawazo ,punguza kulala utaona unarudia kuw poa
 
Back
Top Bottom