Marekebisho title nywele hazioti sehemu fulani ya kichwa tena katikati au nyuma ya kichwa karibu na sikioHabari wakuu? Nimeambatanisha picha hapa chini,kwa sasa nipo mbali na hospital kubwa nilitaka kujua kwanza kwa sasa nina miezi nane ,nywele hazioti sehemu moja inabaki kama kishilingi hivi. View attachment 1734305View attachment 1734306
Inaonesha uko mchafu hata masikio huyasafishi. Halafu mnakuja hapa JF na kulialia kuwa hatupati wachumba
Inaonesha uko mchafu hata masikio huyasafishi. Halafu mnakuja hapa JF na kulialia kuwa hatupati wachumba
Auto immune Disease hiyo inaitwa Alopecia Areata.Habari wakuu? Nimeambatanisha picha hapa chini,kwa sasa nipo mbali na hospital kubwa nilitaka kujua kwanza kwa sasa nina miezi nane ,nywele hazioti sehemu moja inabaki kama kishilingi hivi. View attachment 1734305View attachment 1734306
Hio minoxdil sijui kama ataipata bongo labda aagize eBay, pia kama ni matatizo ya ngozi kwa mda mfupi inaweza kumsaidia ila kama ni upara wa asili labda aende Uturuki kuzioteshaUgonjwa unaitwa Alopecia Areata....Ni autoimmune disease...Mara nyingi hakuna sababu maalum
Paka dawa moja inaitwa Minoxdill solution 5%
Ila hiyo dawa ni ghali kidogo...inakaribia 70,000/= Pharmacy kubwa kubwaAsante sana mkuu
Bongo zipoHio minoxdil sijui kama ataipata bongo labda aagize eBay, pia kama ni matatizo ya ngozi kwa mda mfupi inaweza kumsaidia ila kama ni upara wa asili labda aende Uturuki kuziotesha
Ohoooo,mkuu unatutisha wanachama.Ghai uo ugonjwa cjui jina ila nnachojua unawafata WAPIGA NYETO ukipiga nyeto sanaa kuna protein ya makuzi ya nywele inapotea so lazna upate shida ya kuota nywele CHAPUTA
Ghai uo ugonjwa cjui jina ila nnachojua unawafata WAPIGA NYETO ukipiga nyeto sanaa kuna protein ya makuzi ya nywele inapotea so lazna upate shida ya kuota nywele CHAPUTA
Sasa endeleaOhoooo,mkuu unatutisha wanachama.