Huu ni ugonjwa gani? Nywele hazioti sehemu fulani ya kichwa tena katikati au nyuma ya kichwa karibu na sikio

MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
622
Habari wakuu? Nimeambatanisha picha hapa chini,kwa sasa nipo mbali na hospital kubwa nilitaka kujua kwanza kwa sasa nina miezi nane ,nywele hazioti sehemu moja inabaki kama kishilingi hivi.

Screenshot_20210325-190723.jpg
 
Ugonjwa unaitwa Alopecia Areata....Ni autoimmune disease...Mara nyingi hakuna sababu maalum

Paka dawa moja inaitwa Minoxdill solution 5%
Hio minoxdil sijui kama ataipata bongo labda aagize eBay, pia kama ni matatizo ya ngozi kwa mda mfupi inaweza kumsaidia ila kama ni upara wa asili labda aende Uturuki kuziotesha
 
Ghai uo ugonjwa cjui jina ila nnachojua unawafata WAPIGA NYETO ukipiga nyeto sanaa kuna protein ya makuzi ya nywele inapotea so lazna upate shida ya kuota nywele CHAPUTA
 
Back
Top Bottom