Huu ni ugonjwa gani? msaada wenu tafadhali.

Huu ni ugonjwa gani? msaada wenu tafadhali.

ndandambuli

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2017
Posts
973
Reaction score
665
Ni mtoto wa umri wa mwaka na 0.5 .
1;Anasikia ,Ila ukimwita hawezi kuja wala kugeuka hata ukimgusa hageuki ataendelea na Mambo yake.
2:Ukimpa chakula hawezi kupokea ,ila vitu vingine anapokea.
3:Hawezi kuita"Mama"
4:Alianza kuona akiwa na miezi sita kabla ya hapo alikuwa haoni kabisa.
 
Acha uwoga hamna ugonjwa hapo, apate lishe bora ya mama
 
Back
Top Bottom