Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,367 Reaction score 161,495 Mar 4, 2017 #21 Sio kwa dole hilo jamani, khaaa
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,643 Reaction score 19,036 Mar 4, 2017 #22 Tabia mbaya hii...
Maarifa JF-Expert Member Joined Nov 23, 2006 Posts 4,567 Reaction score 2,926 Mar 4, 2017 #23 Kwa mtoto Sawa. Akili haijakua. Kwa mtu Mzima nikala ugonjwa wa mtindio wa ubongo. Akili haikui
wax JF-Expert Member Joined Jun 14, 2015 Posts 5,937 Reaction score 5,754 Mar 4, 2017 #24 Daudi Mchambuzi said: Huyu anafanya ubashite wake bila hata aibu. Click to expand... Ber shi tittle mbona wajina wako
Daudi Mchambuzi said: Huyu anafanya ubashite wake bila hata aibu. Click to expand... Ber shi tittle mbona wajina wako
2013 JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 11,365 Reaction score 6,086 Mar 4, 2017 #25 Nachukia sana hii tabia kwa baadhi ya watu wazima wanaonyonya vidole ama kalamu, Iwe KE ama Me. Sioni sababu ya msingi ya MTU kuweka Kidole ama kalamu mdomoni. Ni uchafu.
Nachukia sana hii tabia kwa baadhi ya watu wazima wanaonyonya vidole ama kalamu, Iwe KE ama Me. Sioni sababu ya msingi ya MTU kuweka Kidole ama kalamu mdomoni. Ni uchafu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,454 Reaction score 196,153 Mar 4, 2017 #26 Ni mazoea mabaya... Wengine wanatafuna ulimi... Wengine wanakonyeza konyeza ovyo unconditional...
M Mlali Soronto Member Joined Dec 3, 2016 Posts 67 Reaction score 30 Mar 4, 2017 #27 ZWAZWA,GWAJIGWAJI ni nini hiyo mnihabarishe wakuu ťafadhali.
Sadock Kabuko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2013 Posts 1,167 Reaction score 1,079 Mar 4, 2017 #28 Haaaaaa haaaaaa aise hii sio tabia ni ugonjwa aiseee