Karibu usiingie kwanza nimekaa vibaya nashemejio,ngoja tuvae tupe dkk moja.
Hodi wanajamii, mimi ni mwanaume naombeni nafasi humu.
Hahahahaaaaa jembe afrika hii ni ya kulalia
ok karibu mkuu,unatokea wapi usiku huu.
jembe afrika tukeshe tu sasa manake kila msele ninaoupiga tunakutana
karibu hadi ndani