Huu ni uchungu usioelezeka

Huu ni uchungu usioelezeka

Laana mara nyingi hutafuta upenyo kuingia ktk ukoo. Kitendo cha wanafamilia kukubali issu imalizike kimyakimya wamekaribisha laana kubwa ktk ukoo mzima. Nibora wangemtoa sadaka uyo mmoja kukiponya kizazi.
 
Umenena maneno magumu sana ambayo yanahitaji akili ya ziada kuweza kueleweka lakini ni ukweli mchungu.
 
Nenda dawati la jinsia ripoti hiyo ishu.

Hao wanafamilia wakamatwe waisaidie jamuhuri.
 
Huwa siku zote nasema, anaepatikana kalawiti au kabaka, cha kwanza ni kumkata mb** yake mnampa aishike. Halafu taratibu zingine zifuate.
 
Back
Top Bottom