Huu ni uchizi au kukosa maadili?

Huu ni uchizi au kukosa maadili?

Hata wewe uliyepost hiyo picha huna maadili,
Mtu mwenye maadili hawezi kufungua thd ili aipost hiyo picha.
 
Huyo atakuwa ni Bavicha 100%.
anaebisha na abishe.
Huyu hapa
tapatalk_1558852214951.jpeg
 
Alaf jamaa halina ata wasiwasi yaani..!!Ndo maana thread yangu ile imekosa wachangiaji kumbe makanda ngano kama haya yapo??
 
Ujasiri mkuu, nyie jamaa ni majasiri sana kama huyo kwenye picha anakuna harara mbele za watu,

Hilo bwabwa la Nigeria, angalia rangi kwenye kuta..
 
Hahaha yaani nime itazama tena nimeishia kucheka ...Kuna watu akili zao ni 0
 
Hiyo ni side effect tu, tatizo ni betting.
Huwa nawaona wakubet ikifika mida yao wana poteza uwezo wa kufikiria mambo mengine tofaut na kubet.
 
Back
Top Bottom