Ila usifanyiwe weweHiyo inanogesha penzi
Wanafanyiwa maboya.Ila usifanyiwe wewe
Sio maboya wenye kujifanya wanajua kupenda na wenye kuwanyenyekea hawa mizimu yani mademuWanafanyiwa maboya.
Ila waganga wanapiga sana pesa, hapo unakuta jamaa anampenda kweli mke wake bc mke anaona ni ile dawa inafanya kazi vzr 🔥
Ngoja akukaushe na damuEty unipe hela ndio maana huyu wa sasa namuhonga sana kuliko uwezo wa kipato changu
Ndio maana sipendi Vitunguu hata akisukaNdo maana sitaki mwanamke wa kipare
BOra hivyo kuliko anifanye msukuleNgoja akukaushe na damu