huu ni uboya

huu ni uboya

Status
Not open for further replies.

Rutorial k

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
1,069
Reaction score
1,062
yani Leo demu kanipigia cm tuonane na nilikua namfukuzia long time.cha ajabu nilikua nasafri nikairisha.demu Kafka hadi gheto ila nimeshindwa kumbandua.da huu ni uboya!
 
Unaahirisha safari kisa demu-huo ni ujinga wa kwanza
 
sijui niandike nini!! any way usiku mwema mkuu.
 
Anaefanya kazi ya uandishi ni mwandishi.
Anaefanya kazi za kidaktari ni daktari.
Anaefanya vitu vyakiboya ni boya.
Sasa wewe boya safari umeairisha na papuchi umekosa yani nakosa lakukushauri.
 
mkuu labda unabanduliwa ndio maana unashindwa kubandua
 
ningekua karibu, ningekubeba nikakutupe coco beach, kwa vile wewe ni 'boya' hakika utaelea.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom