Ha hahaaaa...,LOL!
Haka kajibwa katakuwakamejifunza tokakwa anayemmiliki!!
Kijibwa cha kisasa hicho wenyewe wazungu wanaviita pets.., vinajifunza toka kwa wanaowamiliki maana 24 hrs viko close na mmiliki! Iwe Jikoni, sebuleni na hata kitandani!!
Hapo kazi ipo! Hakawezi hata kutofautisha.., kila kinachokatiza mbele yake.., kinaparamia !!