unaongea pumba tu, haingii akilini mwa mtu mwenye akili timamu, ID tu ya hii thread ina matatizo, piganeni hhadi mwisho msikate tamaa but watanzania wa leo sio wa mwaka 47, mshindwe kabisaTunteneke,umeongea ukweli,DR slaa ni fisadi kama ccm wenzake,na yule mchumba wake ndio anamchanganya kabisa,Namshauri mchumba wa Slaa asome alama za wakati,anamuharibu slaa na sasa slaa hafai kabisa.
Haya madai ya tuntemeke yana ukweli kwa kiasi kikubwa sana hasa mradi wa maji karatu na uhakika Dr amekuwa akishirikiana na jublate mnyenye kwenye kuhujumu huu mradi ukweli utabaki pale pale Dr anakubalika sana kwa sasa ila si msafi sana just matter of time kila kitu kitakua open
hahahah! sasa wataka kuniambia kwamba wewe na Juliana Shonza ni ndugu??Slaa alichukuwa mke wa Tunteneke na kamera za Tunteneke haziwezi kumuacha kwa ufisadi wake.
mbona unatokwa na povu jomba,kama hajui kuandika mbona wewe umesoma na umeelewa,hongera Tunteneke.Slaa aje kukana kama uongo.
unaongea pumba tu, haingii akilini mwa mtu mwenye akili timamu, ID tu ya hii thread ina matatizo, piganeni hhadi mwisho msikate tamaa but watanzania wa leo sio wa mwaka 47, mshindwe kabisa
Tutemenke da pole sana, una furahisha, unajua hata kama ni CONFLICT OF INTEREST [COI] basi unajipanga kisomi ili kutushawashi wanajf, kwa thread nzuri iliyopangika kwa umakini na kuleta flow nzuri yenye mantiki kwa msomaji kuweza kuunga dot na hivyo kutengeneza picha isiyo leta maswali bali lugha ya ushawishi dhdi hicho unachotaka kutuaminisha hata kama ni UONGO au UKWELI ili kujenga matarajio ya mleta thread husika ambae ni wewe.WANAJUKWAA,Naomba kuanika !!!!k
Nakana Tuntemekekutumkika kama ID ya hao waliotajwa,Tuntemeke imezaliwa mwaka 2009 kamainavyonesha,hao wengine na kundi tajwa limezaliwa lini?.Haipo hapa kuchafuawatu bali kufichua maovu na kusifia mema.
Tuntemekeninawatakieni Heri ya x mass na mwaka mpya. wana Jf wote
Nawasilisha
Daaah! Dr ni kiboko yenu nakwambia! Tena wewe ulisema kuwa swala la card litamng'oa imeshindikana sasa naona umekuja na lingine!
Kama kawaida yangu nasema tena kwako TUNTEMEKE kuwa dr slaa ni mwamba hile mbaya!
Hahahahahahahahaha mtakesha sana! Uzuri hiyo Id tunaijua!
Kila siku mnamtupia tuhuma lakini hazimteteleshi kwa nini haimshangai?
Kazi mnayo!
eti ndo genge la watu wanaotaka urais...masalia bana, mbona weupe hivi???
Mwambieni Slaa ajibu tuhuma hizo..