Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

Status
Not open for further replies.
Nani msafi sasa, Zitto? Mbona hujaandika jinsi Prezzo wa PM7 alivyonunua almasi Maganzo wakati wa tume ya madini?
 
Last edited by a moderator:
Kipolo; Dr.Slaa ana majukumu mengi sana ya ujenzi wa chama,wala hana mda mchafu wakujibizana na nyie akina Shonza, tuntemeke na masalia wengine mnao tapa tapa.

Kumbuka unavyoyasema haya.Dr.slaa yupo hapahapa anasoma hii thread
 
TUNTEMEKE, umesahau ya Goodluck Ole Medeye na ukwapuaji wa viwanja vya burka kule Arusha?

Ndani mwako umejaa uchafu wa kila ina maana haya yanayokutoka ndiyo yameujaa moyo wako, wewe ni mwasherati,mwizi, muuaji, una tamaa mbaya,una hila, wewe ni fisadi, una matusi, una kiburi, pumbavu mwana wa ibilisi.

Yule dada wa wimbo wanawake na maendeleo kibosile wako amemwacha au anamwunganishia tanesco......

futa povu hilo linalokutoka hadi sehem nyeti.jibu hoja acha matusi, huu sio ugreat thinker. Japo slaa ni mungu wa chadema
 
hamna hadhi ya kujibiwa na dr. slaa....tena shutuma zenyewe kutoka kwa shonza???

Name calling hii nadhani Mods wanakuona.Jihadhari na ban kijana.Jibu hoja chana na kuchafua majina ya watu
 
Ngoma bado mbichi kumbe Dr Slb ana mtoto mwingine Karatu.

Hacha wivu bibie,au wewe ndiyo unataka kuwa first Lady 2015.Dr slaa siyo tohashi,na bado hata wewe uwenda ukaja kulalamika hapa kuwa una mimba ya huyo mzee,hacheni kumuonea wivu Josephine mushumbusi,hilo ni zali lake.
 
WANAJUKWAA,Naomba kuanika kwamara nyingine tena ubadhilifu,Ufisadi na uhujumu wa mali unaofanywa na katibumkuu wa CHADEMA taifa Ndugu.Dr.slaa.

Nia yangu sikumchafua huyu katibu mkuu,bali nikuuonesha namna umma unavyoishi na watu wenye ngozi ya kondoo ili hali ni mbwa mwitu(simba wenye njaa kali).Dr.slaaa naonekana ni kipenzi cha watu katika ulimwengu huu wa siasa za tanzania.Nyiewa penzi,marafiki na mashabiki wa Dr.slaa huu hapa ni ubadhilifu,ufisadi mkubwa anaoufanya katibu mkuu wa CHADEMA.

UFISADI WAKE UMEJIKITA KWENYE MAENEO MAKUU MAWILI
1.KUFISADI KIWANJACHA WAHANGA WA MAFURIKO MWABWE PANDE(OPEN SPACE) HAPA JOESPHINE MSHUMBUSI NDIYEDREVA.
2.UFISADI WA MRADI WA MAJI KARATU(KAVIWASU)
Naomba kuanza na sakata la kiwanja cha mwabwepande(open space).Kwenye hili sakata,Dr.slaa akishirikiana na mchumba wakeJosephine Mshumbusi chini ya mkono wa diwani wa kawe Janet Rite,Dr.slaa amefanya uvunjuifu wa sheria kwa kumshawishi janet Rite(diwani wa chadema kunduchi)agawiwe eneo la wazi kwenye viwanja vya wahanga wa mafuriko yaliyolikumba jiji la Dar es salaam.

Janet Rite ambayekatika ugawaji wa viwanja yeye alikua ni mmoja ya madiwani eneo la mwabwepande alipata nafasi kutoka kwa halamshauri ya kinondoni kusimamia ugawajwi waviwanja eneo lililo ndani ya mpaka wake wa kata ya kawe.
Janet Rite ambaye nirafiki wa karibu sana na Josephine mshumbusi kibiashara(siri) walifikia makubaliano ya kumpa Dr.slaa kiwanja eneo lile la wazi,kwa ahadi kubwa ifuatayokutoka kwa Dr.slaa.
1.Dr.slaa naJosephine walimuahidi janet Rite kuwa itakapo fika mwaka 2015 Josephine mshumbusi atakuwa mbunge wa chadema kupitia jimbo la kawe na atafanya ushawishiwa janet Rite kuwa Mwenyekiti wa madiwani wa chadema kinondoni.
2.Kutokana na biashara wanayofanya,Janet Rite ni aliahidiwa kuchukua robo tatu ya fedha waliyoikusanya kutoka kwa mfanyabiashara anayeitwa (farijaral) ambaye mwezi wa7 mwaka huu aliwapatia kaisi cha sh.Million 80 akina josephine mshumbusi na janet Rite kwa bishara wanayofanyaina wakiwa eneo la Kebbys Hotel mwenge.
NOTE:Jimbo la kawekwa sasa lipo kwenye mgogoro mkubwa uliotengenezwa na dr.slaa kupitia kwa janet Rite na Josephine mshumbusi wakipandikiza watu wamkatae halima mdee.
(Halimamdee anaweza kudhibitisha hili).

Mnamo mwezi wa 9 tar.23 janet Rite aliandamana na watu wakewasiopungua 30 kwenda makao makuu ya chama kumpinga halima mdee kuwa amekua akifanya mambo mengi tofauti kabisa na chama.Dr.slaa alipokea maandamano yalena kuwaahidi kushughulikia halima mdee.

Pia halima mdee alipokuwa akifungua ofisi ya chama maene o ya Bokomnamo mwezi wa 8 mwaka huu kuna kundi la akina mama waliandaliwa na josephine na Janet Rite wakamzomee halima mdee.

NOTE:Halima mdee ni mbunge pekee wa upinzaniwa kushindania jimbo na sio viti maalumu.

Hii yote inatengeneza zengwe la kumchafua halima mdee ilimwaka 2015 atoswe.

Moja ya siasa chafu za kumchafua Halima mdee ni ile thread ilianzaishwa hapa na vijana wa dr.slaa ikisema(HALIMA MDEE AMFUNGA KIJANA WA WATU BILA KOSA)Kutokana na Dr.slaa kuhusika na kushawishi kwa kujipatia eneo la wazi mwabwe pande,Kamati kuu yachama iliyokaa Ubungo plaza juzi imejipanga kufanyia upembuzi yakinifu nakumuanika Dr.slaa kwenye kamati kuu ijayo.

Wana Jf,Hili sakata la kiwanja cha mwabwe pande limechukua sura mpya mara baada ya serikali kuanza kupitia upya maeneo yote ya ramani navigogo waliojigawia viwanja.mpango utakao ratibiwa na halmashauri ya kinondoni chini ya kitengo cha ardhi.

UFISADI WA DR.SLAA KWENYE MRADI WA MAJI(KAVIWASU) KARATU.

Wana Jf,karatu nimoja ya wilaya zenye matatizo makubwa sana ya maji.tatizo hili kubwa la maji linatokana na ukame pia wingi wa wafugaji na ukosefu wa miti tunza maji.
Dr.slaa akiwa mbunge wa karatu alifanya vyema sana kutatua tatizo la maji.Alitumia nafasi yake ya ubunge kuandika proposal kwenda shirika la maji nchini Ujerumani kuwaomba kusaidia kuchimba visima vingi jimboni karatu ilikuondoa kabisa tatizo la maji pale karatu.

Serikali ya Ujerumani iliafikiana na mbunge huyo(Dr.slaa) na kuanzisha mradi waliouita(KAVIWASU).Lakini serikali ya ujerumani wakati wa kuuanzisha mradi huu waliishirikisha serikali ya tanzania,Hivyo ulikuwa unapitiwa mara kwa mara naserikali ya nchi.
Mradi huuu ulitoa pesa za kuchimbia visima vingi ambavyo vilichimba pale karatu.Huduma ya maji kupitiav isma hivi ilikuwa niya kulipia kwa kiwango cha chini kabisa ili wananchi waweze kukimu upatikanaji wa maji.

Baada ya Dr.slaa kuacha ubunge pale karatu hakuukabidhi mradi ule na kuundelea kuuratibu yeye mwenyewe chini ya mwenyekiti wa mradi ndugu Jablet mnyenye(diwani wa chadema karatu mjini).
Kwakuwa mungu hafichi uchafu,Siku moja mkaguzi wa serikali alipita kukagua mradi ulena aligundua wizi wa fedha za mradi na ufisadi wa vipuli vya mradi ule.
Mkaguzi alimwandikia barua dr.slaa na kumtaka atolee ufafanuzi,lakini swala hili liliwekwenda mbali zaidi na kutaka chadema iundetume ya kuchuguza ufisadi ule.Chadema kupitia kamati kuu iliunda tume ndogoifuatayo.
1. Masinde(mwenyekitiwa kamati)
2.Josephat Minde(katibu)
3.Elias Kisurula
4.Shida salum
5.n.k
Hii tume ilifanya uchunguzi wake na kupeleka majibu mbele ya kamati kuu ya chadema taifa kamaifuatavyo.,
Dr.slaa alimdanganya mkaguzi wa serikali kwamba mradi una bajeti ya million 160 kwa mwaka.Wakatimradi una bajeti ya zaidi ya million 200 kwa mwaka.
Dr.slaa akisaidiana na mwenyekiti wa mradi Ndugu Jublet Mnyenye waligawana million 400 za mradihuo.
Jublet manyenye alikiri wazi mbele ya tume ya masinde kwamba Dr.slaa alichukua fedha zile nakumkabidhi Josephine.

Pia jublet alikiri kwamba kuna fedha zinatengwa kila mwishoni mwam wezi kwaajili ya kutunza familia ya Dr.slaa pale karatu hii familia nimwanamke mmoja aliye zaa naye Dr.slaa(Jina naomba nilihifadhi kumlinda yulemama).Huyo mwanamke anasomesha mtoto na wadogo zake na fedha zote zinatoka kwenye ule mradi.
Jublet Mnyenye(diwani wa karatu mjini) alikiri wazi kunavifaa vya kuendeshea mitambo hununuliwa dukani kwake pale pale karatu kwabei kubwa kinyume na bei harisi ya vifaa.Hii hela ya juu huwa wanagwana na Dr.slaa.
Wna Jf,Kutokana na matokeo ya kamati ile na kuuanika ufisadi huu wa dr.slaa.kamati kuu ya CHADEMA taifa iliyokutana pale ubungo plaza iliamua kuvunja uongozi mzima wa karatu.(refer gazeti la mwananchi wikii liiyopita).
NYONGEZA:Kutokana na tabia ya Dr.slaa kuuza majimbo mbalimbali ya wabunge wa chadema kama anavyo fanya kawe,alivyofanya jimbo la Makamu mwenyekiti wa chadema taifa said Arf kule sumbawanga na kupelekea said Arfi kutupa kadi.
Hata pale karatu Dr,.slaa amewagawa wabunge kwa kimajungu na ubaguzi.Kuna kundi lake linalohusisha Jublet Mnyenye(diwani-chadema),Cecilia paleso (mbunge viti maalumu) Uongozi wa BAVICHA wote na Katibu wa wilaya chadema.
Wakati kuna kundi ambalo Dr.slaa analipiga vita na hataki kabisa kulihusisha kwenye kazi za chama pale karatu ni Maasai,natse(mchungaji)mbunge na mwenyekiti wa chadema karatu anaitwa Moshi darabe.
Dr.slaa amemuahidi Cecilia paleso kuwa atagombea jimbo la karatu,Hivyo asihofu kabisa atafanya juuchini kuwatoa waliopo kwa sasa pale jimboni.Kwanini Dr.slaa anamuahidi cecilia kugombea jimbo.??

Dr.slaa na baba yake cecilia pareso walishawahi kuhukumiana mahakamani kisa kilikuwa ni shamba kule kule karatu.Dr.slaa alishinda kesi ile na mzee paleco alitakiwa kulipa fedha,lakini bahati mbaya mzee paleso hakufanikiwa kulipa,Cecilia paleso alipopata mkopo wake wa kwanza pele dodoma bungeni alikwenda moja kwa moja kumlipa Dr.slaa na hapo ndipo urafiki wa karibu ulioanza na hadi kuahidiana jimbo.

MY TAKE:Dr.slaa chana na kutengeneza makundi na kubagua watu ndani ya chama.Unaua chama na kujiimarisha wewe.Halima mdee mwachie kaweyake-iron lady ndani ya chama.
Josephine mshumbushi kaa mbali na siasa za chama.

FREEMAN MBOWE WEWE NDIYE MJENZI WA CHAMA SINCE UKIWA UMOJA WA VIJANA,UMEJITOLEA KUISIMAMISHA CHADEMA YA HII HADI HAPA,LAKINI DR.SLAA KAZI YAKE NI KUHARIBU,KUVUNJA NA KUBOMOA CHAMA CHINI KWA CHINI.
FREEMAN MBOWE USIKUBALI CHAMA KUVURUGWA NA HUYU MZEE ANAYEKULA MATUNDA YAKO


TUSITEGEMEE KABISA HIKI KUTOKEA
"KUBEBA MIMBA YAKIFISADI,CHUKI,UBAGUZI THEN TUTEGEMEE KUZAA UKOMBOZI "


Nakana Tuntemeke kutumkika kama ID ya hao waliotajwa,Tuntemeke imezaliwa mwaka 2009 kamainavyonesha,hao wengine na kundi tajwa limezaliwa lini?.Haipo hapa kuchafuawatu bali kufichua maovu na kusifia mema.


Tuntemeke ninawatakieni Heri ya x mass na mwaka mpya. wana Jf wote
Nawasilisha

Ni kweli ila mada, maudhui na uandishi wa wewe na hao wengine hautofautiani hata kidogo. Kajipange upya .
 
wanajukwaa,naomba kuanika kwamara nyingine tena ubadhilifu,ufisadi na uhujumu wa mali unaofanywa na katibumkuu wa chadema taifa ndugu.dr.slaa.

nia yangu sikumchafua huyu katibu mkuu,bali nikuuonesha namna umma unavyoishi na watu wenye ngozi ya kondoo ili hali ni mbwa mwitu(simba wenye njaa kali).dr.slaaa naonekana ni kipenzi cha watu katika ulimwengu huu wa siasa za tanzania.nyiewa penzi,marafiki na mashabiki wa dr.slaa huu hapa ni ubadhilifu,ufisadi mkubwa anaoufanya katibu mkuu wa chadema.

ufisadi wake umejikita kwenye maeneo makuu mawili
1.kufisadi kiwanjacha wahanga wa mafuriko mwabwe pande(open space) hapa joesphine mshumbusi ndiyedreva.
2.ufisadi wa mradi wa maji karatu(kaviwasu)
naomba kuanza na sakata la kiwanja cha mwabwepande(open space).kwenye hili sakata,dr.slaa akishirikiana na mchumba wakejosephine mshumbusi chini ya mkono wa diwani wa kawe janet rite,dr.slaa amefanya uvunjuifu wa sheria kwa kumshawishi janet rite(diwani wa chadema kunduchi)agawiwe eneo la wazi kwenye viwanja vya wahanga wa mafuriko yaliyolikumba jiji la dar es salaam.

janet rite ambayekatika ugawaji wa viwanja yeye alikua ni mmoja ya madiwani eneo la mwabwepande alipata nafasi kutoka kwa halamshauri ya kinondoni kusimamia ugawajwi waviwanja eneo lililo ndani ya mpaka wake wa kata ya kawe.
janet rite ambaye nirafiki wa karibu sana na josephine mshumbusi kibiashara(siri) walifikia makubaliano ya kumpa dr.slaa kiwanja eneo lile la wazi,kwa ahadi kubwa ifuatayokutoka kwa dr.slaa.
1.dr.slaa najosephine walimuahidi janet rite kuwa itakapo fika mwaka 2015 josephine mshumbusi atakuwa mbunge wa chadema kupitia jimbo la kawe na atafanya ushawishiwa janet rite kuwa mwenyekiti wa madiwani wa chadema kinondoni.
2.kutokana na biashara wanayofanya,janet rite ni aliahidiwa kuchukua robo tatu ya fedha waliyoikusanya kutoka kwa mfanyabiashara anayeitwa (farijaral) ambaye mwezi wa7 mwaka huu aliwapatia kaisi cha sh.million 80 akina josephine mshumbusi na janet rite kwa bishara wanayofanyaina wakiwa eneo la kebbys hotel mwenge.
note:jimbo la kawekwa sasa lipo kwenye mgogoro mkubwa uliotengenezwa na dr.slaa kupitia kwa janet rite na josephine mshumbusi wakipandikiza watu wamkatae halima mdee.
(halimamdee anaweza kudhibitisha hili).

mnamo mwezi wa 9 tar.23 janet rite aliandamana na watu wakewasiopungua 30 kwenda makao makuu ya chama kumpinga halima mdee kuwa amekua akifanya mambo mengi tofauti kabisa na chama.dr.slaa alipokea maandamano yalena kuwaahidi kushughulikia halima mdee.

pia halima mdee alipokuwa akifungua ofisi ya chama maene o ya bokomnamo mwezi wa 8 mwaka huu kuna kundi la akina mama waliandaliwa na josephine na janet rite wakamzomee halima mdee.

Note:halima mdee ni mbunge pekee wa upinzaniwa kushindania jimbo na sio viti maalumu.

hii yote inatengeneza zengwe la kumchafua halima mdee ilimwaka 2015 atoswe.

moja ya siasa chafu za kumchafua halima mdee ni ile thread ilianzaishwa hapa na vijana wa dr.slaa ikisema(halima mdee amfunga kijana wa watu bila kosa)kutokana na dr.slaa kuhusika na kushawishi kwa kujipatia eneo la wazi mwabwe pande,kamati kuu yachama iliyokaa ubungo plaza juzi imejipanga kufanyia upembuzi yakinifu nakumuanika dr.slaa kwenye kamati kuu ijayo.

wana jf,hili sakata la kiwanja cha mwabwe pande limechukua sura mpya mara baada ya serikali kuanza kupitia upya maeneo yote ya ramani navigogo waliojigawia viwanja.mpango utakao ratibiwa na halmashauri ya kinondoni chini ya kitengo cha ardhi.

ufisadi wa dr.slaa kwenye mradi wa maji(kaviwasu) karatu.

wana jf,karatu nimoja ya wilaya zenye matatizo makubwa sana ya maji.tatizo hili kubwa la maji linatokana na ukame pia wingi wa wafugaji na ukosefu wa miti tunza maji.
dr.slaa akiwa mbunge wa karatu alifanya vyema sana kutatua tatizo la maji.alitumia nafasi yake ya ubunge kuandika proposal kwenda shirika la maji nchini ujerumani kuwaomba kusaidia kuchimba visima vingi jimboni karatu ilikuondoa kabisa tatizo la maji pale karatu.

serikali ya ujerumani iliafikiana na mbunge huyo(dr.slaa) na kuanzisha mradi waliouita(kaviwasu).lakini serikali ya ujerumani wakati wa kuuanzisha mradi huu waliishirikisha serikali ya tanzania,hivyo ulikuwa unapitiwa mara kwa mara naserikali ya nchi.
mradi huuu ulitoa pesa za kuchimbia visima vingi ambavyo vilichimba pale karatu.huduma ya maji kupitiav isma hivi ilikuwa niya kulipia kwa kiwango cha chini kabisa ili wananchi waweze kukimu upatikanaji wa maji.

baada ya dr.slaa kuacha ubunge pale karatu hakuukabidhi mradi ule na kuundelea kuuratibu yeye mwenyewe chini ya mwenyekiti wa mradi ndugu jablet mnyenye(diwani wa chadema karatu mjini).
kwakuwa mungu hafichi uchafu,siku moja mkaguzi wa serikali alipita kukagua mradi ulena aligundua wizi wa fedha za mradi na ufisadi wa vipuli vya mradi ule.
mkaguzi alimwandikia barua dr.slaa na kumtaka atolee ufafanuzi,lakini swala hili liliwekwenda mbali zaidi na kutaka chadema iundetume ya kuchuguza ufisadi ule.chadema kupitia kamati kuu iliunda tume ndogoifuatayo.
1. Masinde(mwenyekitiwa kamati)
2.josephat minde(katibu)
3.elias kisurula
4.shida salum
5.n.k
hii tume ilifanya uchunguzi wake na kupeleka majibu mbele ya kamati kuu ya chadema taifa kamaifuatavyo.,
dr.slaa alimdanganya mkaguzi wa serikali kwamba mradi una bajeti ya million 160 kwa mwaka.wakatimradi una bajeti ya zaidi ya million 200 kwa mwaka.
dr.slaa akisaidiana na mwenyekiti wa mradi ndugu jublet mnyenye waligawana million 400 za mradihuo.
jublet manyenye alikiri wazi mbele ya tume ya masinde kwamba dr.slaa alichukua fedha zile nakumkabidhi josephine.

pia jublet alikiri kwamba kuna fedha zinatengwa kila mwishoni mwam wezi kwaajili ya kutunza familia ya dr.slaa pale karatu hii familia nimwanamke mmoja aliye zaa naye dr.slaa(jina naomba nilihifadhi kumlinda yulemama).huyo mwanamke anasomesha mtoto na wadogo zake na fedha zote zinatoka kwenye ule mradi.
jublet mnyenye(diwani wa karatu mjini) alikiri wazi kunavifaa vya kuendeshea mitambo hununuliwa dukani kwake pale pale karatu kwabei kubwa kinyume na bei harisi ya vifaa.hii hela ya juu huwa wanagwana na dr.slaa.
wna jf,kutokana na matokeo ya kamati ile na kuuanika ufisadi huu wa dr.slaa.kamati kuu ya chadema taifa iliyokutana pale ubungo plaza iliamua kuvunja uongozi mzima wa karatu.(refer gazeti la mwananchi wikii liiyopita).
nyongeza:kutokana na tabia ya dr.slaa kuuza majimbo mbalimbali ya wabunge wa chadema kama anavyo fanya kawe,alivyofanya jimbo la makamu mwenyekiti wa chadema taifa said arf kule sumbawanga na kupelekea said arfi kutupa kadi.
hata pale karatu dr,.slaa amewagawa wabunge kwa kimajungu na ubaguzi.kuna kundi lake linalohusisha jublet mnyenye(diwani-chadema),cecilia paleso (mbunge viti maalumu) uongozi wa bavicha wote na katibu wa wilaya chadema.
wakati kuna kundi ambalo dr.slaa analipiga vita na hataki kabisa kulihusisha kwenye kazi za chama pale karatu ni maasai,natse(mchungaji)mbunge na mwenyekiti wa chadema karatu anaitwa moshi darabe.
dr.slaa amemuahidi cecilia paleso kuwa atagombea jimbo la karatu,hivyo asihofu kabisa atafanya juuchini kuwatoa waliopo kwa sasa pale jimboni.kwanini dr.slaa anamuahidi cecilia kugombea jimbo.??

dr.slaa na baba yake cecilia pareso walishawahi kuhukumiana mahakamani kisa kilikuwa ni shamba kule kule karatu.dr.slaa alishinda kesi ile na mzee paleco alitakiwa kulipa fedha,lakini bahati mbaya mzee paleso hakufanikiwa kulipa,cecilia paleso alipopata mkopo wake wa kwanza pele dodoma bungeni alikwenda moja kwa moja kumlipa dr.slaa na hapo ndipo urafiki wa karibu ulioanza na hadi kuahidiana jimbo.

my take:dr.slaa chana na kutengeneza makundi na kubagua watu ndani ya chama.unaua chama na kujiimarisha wewe.halima mdee mwachie kaweyake-iron lady ndani ya chama.
Josephine mshumbushi kaa mbali na siasa za chama.

Freeman mbowe wewe ndiye mjenzi wa chama since ukiwa umoja wa vijana,umejitolea kuisimamisha chadema ya hii hadi hapa,lakini dr.slaa kazi yake ni kuharibu,kuvunja na kubomoa chama chini kwa chini.
Freeman mbowe usikubali chama kuvurugwa na huyu mzee anayekula matunda yako


tusitegemee kabisa hiki kutokea
"kubeba mimba yakifisadi,chuki,ubaguzi then tutegemee kuzaa ukombozi "


nakana tuntemeke kutumkika kama id ya hao waliotajwa,tuntemeke imezaliwa mwaka 2009 kamainavyonesha,hao wengine na kundi tajwa limezaliwa lini?.haipo hapa kuchafuawatu bali kufichua maovu na kusifia mema.


tuntemeke ninawatakieni heri ya x mass na mwaka mpya. Wana jf wote
nawasilisha

tumekuelewa mkuu! Dr slaa ni janga la chama!
 
Tumeshagundua mbinu zenu masalia na kwa hakika hamtafanikiwa kumchafua dr slaa by the way the means you are using are useless
 
hahahah mkuu siyo mm...mbona walishagundulika kitambo na wakawekwa hadharani?? usitake mods wanitoe kafara kwa jambo lililo wazi....masalia oyeee
Name calling hii nadhani Mods wanakuona.Jihadhari na ban kijana.Jibu hoja chana na kuchafua majina ya watu
 
Kamanda TUNTEMEKE, kumbe bado unatisha kweli umedhamilia kupambana na ufisadi ndani ya Chadema.
 
Last edited by a moderator:
hahahah mkuu siyo mm...mbona walishagundulika kitambo na wakawekwa hadharani?? usitake mods wanitoe kafara kwa jambo lililo wazi....masalia oyeee

aliyeniweka hadharani ni nani/nawe ukaamini?
nadhani nimewakana hao watu wenu,walihangaika kuichafua tuntemeke ionekane ni kundi lakini kamwe hawawezi.Hii ni zaidi ya huo mkanda walioundaa.
Endelea kuaita name calling hiyo,nadhani report abuse ipo kwaajili ya watu kama nyie
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom