Huu ni ubadhirifu na ufisadi wa Dr. Slaa huko Mabwepande na mradi wa maji Karatu

Status
Not open for further replies.
Tunteneke,umeongea ukweli,DR slaa ni fisadi kama ccm wenzake,na yule mchumba wake ndio anamchanganya kabisa,Namshauri mchumba wa Slaa asome alama za wakati,anamuharibu slaa na sasa slaa hafai kabisa.
unaongea pumba tu, haingii akilini mwa mtu mwenye akili timamu, ID tu ya hii thread ina matatizo, piganeni hhadi mwisho msikate tamaa but watanzania wa leo sio wa mwaka 47, mshindwe kabisa
 
Haya bwana tuntemeke naona ushakula hela,kazi nzuri nategemea kupata mengi kutoka kwako juu ya DR.Kila la kheri..........
 
Haya madai ya tuntemeke yana ukweli kwa kiasi kikubwa sana hasa mradi wa maji karatu na uhakika Dr amekuwa akishirikiana na jublate mnyenye kwenye kuhujumu huu mradi ukweli utabaki pale pale Dr anakubalika sana kwa sasa ila si msafi sana just matter of time kila kitu kitakua open

Inawezekana kuwa open kwa idad ndogo sana ya wapika majungu kama nyinyi. Sisi wala tunaona Dr yuko smartiiiiiiiiiiiii.

Kumbuka ukipenda chongo waita kengeza, na anaependwa ataendelea kupendwa tu na kelele zenu hazitubadili mwelekeo wa tunachokiamini.
 
Zitto kwa hali ilivyo sasa ungezuia vijana wako wasiendelee kutukana, jipeni muda mjipange au tafuteni platform nyingine tofauti na JF. Ben aliwamwagia mavi usoni nanyi bila hekima mnayasambaza mwili mzima
 
Hamueleweki...sijui mlipitapita wapi ktk kujifunza kusoma....huyo kiongozi wenu wa masalia mwelezeni ukweli kuwa urais anaostahili yeye ni wa wachawi tu...tena hata akitaka kuwa rais wa wachawi dunia nzima nafasi anayo na nyie misukule yake mpo kumsapoti....
mbona unatokwa na povu jomba,kama hajui kuandika mbona wewe umesoma na umeelewa,hongera Tunteneke.Slaa aje kukana kama uongo.
 
Daaah! Dr ni kiboko yenu nakwambia! Tena wewe ulisema kuwa swala la card litamng'oa imeshindikana sasa naona umekuja na lingine!

Kama kawaida yangu nasema tena kwako TUNTEMEKE kuwa dr slaa ni mwamba hile mbaya!

Hahahahahahahahaha mtakesha sana! Uzuri hiyo Id tunaijua!

Kila siku mnamtupia tuhuma lakini hazimteteleshi kwa nini haimshangai?

Kazi mnayo!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana naomba ujiunge na Khadija Kopa kwenye bendi itakufaa co siasa huku umepoteza muelekeo na pumzi naona umepungukiwa!
 
labda mje na Id mpya hii imebuma, Nenda kashitaki kwa mkuu wa mkoa maana ndiye msimamizi
 
unaongea pumba tu, haingii akilini mwa mtu mwenye akili timamu, ID tu ya hii thread ina matatizo, piganeni hhadi mwisho msikate tamaa but watanzania wa leo sio wa mwaka 47, mshindwe kabisa

mbona umekataa moja kwa moja na akisifiwa unakubali moja kwa moja?..
 
WANAJUKWAA,Naomba kuanika !!!!k
Nakana Tuntemekekutumkika kama ID ya hao waliotajwa,
Tuntemeke imezaliwa mwaka 2009 kamainavyonesha,hao wengine na kundi tajwa limezaliwa lini?.Haipo hapa kuchafuawatu bali kufichua maovu na kusifia mema.

Tuntemekeninawatakieni Heri ya x mass na mwaka mpya. wana Jf wote
Nawasilisha
Tutemenke da pole sana, una furahisha, unajua hata kama ni CONFLICT OF INTEREST [COI] basi unajipanga kisomi ili kutushawashi wanajf, kwa thread nzuri iliyopangika kwa umakini na kuleta flow nzuri yenye mantiki kwa msomaji kuweza kuunga dot na hivyo kutengeneza picha isiyo leta maswali bali lugha ya ushawishi dhdi hicho unachotaka kutuaminisha hata kama ni UONGO au UKWELI ili kujenga matarajio ya mleta thread husika ambae ni wewe.

Ushauri naona huna mikakati [STRATEGY] yani kweli hata kama unahusishwa na MP7 hakika naamini kuwa kweli Saanane alikuwa Jembe kweli kwenye TUTEMENKE Co kwa kuwa nikizingatia malumbano yangu ya hoja na Saanane wakati ule kabla HAJAJITOA nilikuwa nalumbana kweli na mtu anaejitahidi kujibu na kutoa hoja na vitu vyenye kuleta hisia hata wewe unaeshindana nae kwa hoja alikuwa anakupata changamoto za ziada japo,pia kwa wewe kujipima kuwa kuna vyenye FACT lakini visivyo halalishi matendo yao yenye dalili za ulibifu kwa chama na hata Taifa.

Angalia matumizi ya maneno yako yanavyoleta utata "Tuntemeke imezaliwa."Tulitalajia kusikia Tutemeke nimezaliwa tarehe tajwa ukimaanisha ni mtu sio taasisi au kampuni,kwa kuwa tulioko humu hatuwakilisha kampuni au NGO,ndio maan uwezi kuona ID ya maneno kama Vodacom, au Serengeti.Humu ndani tumeenda mbali kiasi kuwa siku hizi tuna verification ID kwa watu na sio taasisi.Hivyo utajo wako kuwa Tuntemeke imezaliwa mwaka tajwa ni ishara ya kile kilochesemwa na Sananane kuwa ni taasisi yenye watuamiaji wengi na ndio maana mnajisahau kwa kusema imezaliwa [CCM imezliwa mwaka 1977, CDM imezliwa mwaka..., MP7 imezliwa tarehe...n.k] ebu imekaaje hiyo?

Haya tena unaendelea kusahau na kuendelea kutukologa na vituko vyako "
Haipo hapa " sio kuwa SIKO HAPA.Haiko hapa nini? Taasisi ya MP7, Taasisi ya NGO, Taasisi ya Kichama n.k.Naona unadhidi kukologa na kuharibu uratibishaji wa malengo yenu ndio maana wenzetu wanasema ukiamua kula chura basi tafuta alienona [If you want to eat a flog you must find the bigger one and the juice one].

Unafika mwisho ndio unaongea kile ambacho ulipaswa kukitumia kwa ushahihi zaidi,kuondoa hisia na uhakiki usio kuw na sababu kwa kuwa ilipaswa kujilikana kichwani mwako wewe ni wewe na sio sisi.Ukishakuwa kichwani kuan sisi ndio matatizo hayo unajikuta ukisema sisi badala ya mimi."
Tuntemekeninawatakieni''.Ebu jipangeni basi tuondoleeni basi hii aibu ya watu wasio makini, na wasio jipanga hata kama walitaka kusema jambo zuri lenye mantiki kwa njia na nia ya kutake advantage inaonekana ni upuuzi na utoto.Ndio maana wanasema ngoma ya watoto aikeshi kweli msiwe watoto mjitaihidi basi next time mmsogee kidogo hata kuwa wavulana.
 
Daaah! Dr ni kiboko yenu nakwambia! Tena wewe ulisema kuwa swala la card litamng'oa imeshindikana sasa naona umekuja na lingine!

Kama kawaida yangu nasema tena kwako TUNTEMEKE kuwa dr slaa ni mwamba hile mbaya!

Hahahahahahahahaha mtakesha sana! Uzuri hiyo Id tunaijua!

Kila siku mnamtupia tuhuma lakini hazimteteleshi kwa nini haimshangai?

Kazi mnayo!

nani mkubwa kati ya slaa na chadema?.
 
eti ndo genge la watu wanaotaka urais...masalia bana, mbona weupe hivi???



Ndugu katika JF Ciello

Mpaka sasa hawa masalia maji taka yameharibu akili zao, urais haujii kwa majungu, usaliti, uchochezi na umbea kama wanavofanya

Wataishia kunawa wala msosi hawatatia kinywani aslan.
 
Wangu mbona hujui hata kuandika kabisa yaani ni kama mtoto wa darasa la kwanza.... Sasa kwanza kajifunze kuandika halafu ndio uje hutuaminishe huwo upuuzi wako
 
Kajipangeni upya! Chadema ni moto chini....Mtahangaika sana lakini sisi wananchi wa Tanzania hatudanganyiki kwa sasa,Fisadi na Tapeli mkubwa ni Mwenyekiti wa CCM!
 
Hivi nyie masalia lini mtakuwa na akili, watanzania tumesha sema hatudanganyiki wala hatutabadilika kamwe nyie mlie tu. Zitto na masalia (Tuntemeke)anzisheni chama chenu,kwa nini mnang'ang'ania CHADEMA? endeleeni kumchafua mzee wa watu lakini hiyo dhambi itawarudia kwani magamba wanawatumia kama Kondom wakimaliza wana-wadampo kwenye dust bin.

Kamanda saa nane,jitokeze uendelee kuwachana chana hawa wasaliti,mashetani,wanafiki,waongo,wachumia tumbo,wanaofikiria kimasaburi saburi, wanao kuwa controlled kutoka Lumumba.

Wana jamvi naomba kuwasilisha.
 
TUNTEMEKE, umesahau ya Goodluck Ole Medeye na ukwapuaji wa viwanja vya burka kule Arusha?

Ndani mwako umejaa uchafu wa kila ina maana haya yanayokutoka ndiyo yameujaa moyo wako, wewe ni mwasherati,mwizi, muuaji, una tamaa mbaya,una hila, wewe ni fisadi, una matusi, una kiburi, pumbavu mwana wa ibilisi.

Yule dada wa wimbo wanawake na maendeleo kibosile wako amemwacha au anamwunganishia tanesco......
 
ajibu nn ikiwa hata mleta uzi hajui kuandika??? mwambieni juliana akaandike upya au mwite zk amsaidie kuedit then muilete upya....so far huu alioleta juliana ni up.up.u....
Mwambieni Slaa ajibu tuhuma hizo..
 
Status
Not open for further replies.
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom