britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,288
- 49,252
UtafungiwaHeri ya siku kuu ya Maulid
Bwana Yesu aendelee kuwa nanyi
Operation Kubwa inakuja na taasisi pekee inayoonekana kuwa na weledi kwenye operation hiyo ni JW tu ,
Watu wanajiuliza kwanini Jeshi?
Sababu ni kwamba Jeshi letu ni wachapakazi na wanatii amri za wakuu,
Kuna mambo mengi ya msingi ambayo walisema raia wa kawaida uishia kuvuruga,
Mimi pamoja na kwamba jeshi litaenda kwenye operation hiyo nimeona pia jeshi liende mpaka kwenye kuperate maeneo haya
A.Miradi yote ya serikali kama vile UDART madereva wote wawe wanajeshi,
B.Vivuko vyote nchini viendeshwe na manahodha wanajeshi
C.Shule zote zilindwe na jeshi
Nadhani hata ninyi mna mapendekezo,
Ila jeshi likimaliza kusimamia bureau de changes za Arusha pia kuna za Masaki bado kuna mchezo wa kuficha hela ndani badala ya kuziweka bank, zinanuka uvundo na unga unga, hizo dolla
Heri ya siku kuu ya Maulid

Hakuna wa kupindua nchiNa mwishowe wataishia kupindua nchi. Acha waendelee kuwaonjesha madaraka!
Hakuna wa kupindua nchi
Jeshi liwe “moderators” wa Jamii Forum, hasa jukwaa la siasa!Heri ya siku kuu ya Maulid
Bwana Yesu aendelee kuwa nanyi
Operation Kubwa inakuja na taasisi pekee inayoonekana kuwa na weledi kwenye operation hiyo ni JW tu ,
Watu wanajiuliza kwanini Jeshi?
Sababu ni kwamba Jeshi letu ni wachapakazi na wanatii amri za wakuu,
Kuna mambo mengi ya msingi ambayo walisema raia wa kawaida uishia kuvuruga,
Mimi pamoja na kwamba jeshi litaenda kwenye operation hiyo nimeona pia jeshi liende mpaka kwenye kuperate maeneo haya
A.Miradi yote ya serikali kama vile UDART madereva wote wawe wanajeshi,
B.Vivuko vyote nchini viendeshwe na manahodha wanajeshi
C.Shule zote zilindwe na jeshi
Nadhani hata ninyi mna mapendekezo,
Ila jeshi likimaliza kusimamia bureau de changes za Arusha pia kuna za Masaki bado kuna mchezo wa kuficha hela ndani badala ya kuziweka bank, zinanuka uvundo na unga unga, hizo dolla
MAENEO NI MENGI SANA
Nenda Tegeta pale yalipo maduka ya vifaa vya ujenzi..kisha kaa pembeni kama na wewe ni mnunuzi..na chunguza ambavyo serikali inaibiwa VAT kwa watu kupewa risiti za uongo ..mtu ananunua vifaa vvya laki tano anapewa risiti ya shs 50 000 yaani 10% tu ya gharama halisia..
Hivyo ndivyo mama Tanzania anavyoibiwa..
Nyie wapinzani Tumuunge mkono rais
HahahJeshi liwe “moderators” wa Jamii Forum, hasa jukwaa la siasa!
Sijui wanafanyaje kaziIlo la kwenye maduka ya ujenzi upo sahihi kabisa,, huwa nashangaa kwan TRA huwa hawana watu wao wakujifanya kama wateja ili wakaling'amua ilo,,maana ni kero ht mi binafsi nishawai kutana nayo,,halafu hamna maslai yoyoye ambayo unapata ww mteja zaidi ya kulinufaisha jitu likwepe kodi, unalazimishwa ukifikisha mzigo umpe dereva wa pikapu arudinayo risit,, sasa sijui izo risit zinatumika tena au wanazifanyaje hao wenye maduka,,sio huko tegeta tu, hata maeneo mengi kuna uho ujinga
Hawa JWTZ kwa miaka mingi walikuwa wamelala usingizi fofofo hadi Mhamiaji haramu akaja hapa na akafanikiwa kutwaa madaraka makuu ya nchi...Heri ya siku kuu ya Maulid
Bwana Yesu aendelee kuwa nanyi
Operation Kubwa inakuja na taasisi pekee inayoonekana kuwa na weledi kwenye operation hiyo ni JW tu ,
Watu wanajiuliza kwanini Jeshi?
Sababu ni kwamba Jeshi letu ni wachapakazi na wanatii amri za wakuu,
Kuna mambo mengi ya msingi ambayo walisema raia wa kawaida uishia kuvuruga,
Mimi pamoja na kwamba jeshi litaenda kwenye operation hiyo nimeona pia jeshi liende mpaka kwenye kuperate maeneo haya
A.Miradi yote ya serikali kama vile UDART madereva wote wawe wanajeshi,
B.Vivuko vyote nchini viendeshwe na manahodha wanajeshi
C.Shule zote zilindwe na jeshi
Nadhani hata ninyi mna mapendekezo,
Ila jeshi likimaliza kusimamia bureau de changes za Arusha pia kuna za Masaki bado kuna mchezo wa kuficha hela ndani badala ya kuziweka bank, zinanuka uvundo na unga unga, hizo dolla
MAENEO NI MENGI SANA
Nenda Tegeta pale yalipo maduka ya vifaa vya ujenzi..kisha kaa pembeni kama na wewe ni mnunuzi..na chunguza ambavyo serikali inaibiwa VAT kwa watu kupewa risiti za uongo ..mtu ananunua vifaa vvya laki tano anapewa risiti ya shs 50 000 yaani 10% tu ya gharama halisia..
Hivyo ndivyo mama Tanzania anavyoibiwa..
Nyie wapinzani Tumuunge mkono rais
Muhamiaji haramu ni nani?Hawa JWTZ kwa miaka mingi walikuwa wamelala usingizi fofofo hadi Mhamiaji haramu akaja hapa na akafanikiwa kutwaa madaraka makuu ya nchi...
Sada naomba JWTZ waamke na waendelee kutumika hivyo hivyo ili hatimaye basi wamfyekelee mbali huyu Mkoloni wa Kihutu aliyejipenyeza nchini mwetu...
INAWEZEKANA WAKIAMUA!
Ilo la kwenye maduka ya ujenzi upo sahihi kabisa,, huwa nashangaa kwan TRA huwa hawana watu wao wakujifanya kama wateja ili wakaling'amua ilo,,maana ni kero ht mi binafsi nishawai kutana nayo,,halafu hamna maslai yoyoye ambayo unapata ww mteja zaidi ya kulinufaisha jitu likwepe kodi, unalazimishwa ukifikisha mzigo umpe dereva wa pikapu arudinayo risit,, sasa sijui izo risit zinatumika tena au wanazifanyaje hao wenye maduka,,sio huko tegeta tu, hata maeneo mengi kuna uho ujinga
Utamjua tu siku JW wakiamua kuamka usingizini kusafisha uchafu...sasa hivi majinga yamelala usingizi wa ponoMuhamiaji haramu ni nani?