Ndara Mbovu
Senior Member
- Feb 28, 2017
- 155
- 83
Huwa ananipigia simu kuniomba niende.Heeeh!
Mmeachana kweli huyo????
Unampa mpaka nafasi ya kukueleza yote hayo??? !!!!!!!'
Unampa kichwa unavopokea call zake na kujibu text zakeHuwa ananipigia simu kuniomba niende.
mapenzi miaka mitatu au mahusiano miaka mitatu?Kuna msichana nimekuwa naye kwenye mapenzi takribani miezi 5,
Nikaamua kuachana nae baada ya kugundua hakuwa mkweli juu ya maisha yake kiujumla.
Sasa Baada kumwambia tuachane yeye alikubali ila cha kushangaza ananiambia niende kwao Kilimanjaro akanioneshe kwa wazazi wake mana ameshawaambia anampenzi wake yuko Songea ambaye ni mimi. Kwahiyo niende nikazuge hata kwa kukaa siku 1 tuonekane wachumba wakati wenyewe tukijua tumeachana,
Na nikishafanya hvyo na kurudi Songea naye ataondoka hapo kwao.Yuko tayari kutoa nauli ya kwenda na kurudi Songea.
Ok,nashukuru kwa ushauri wako.Unampa kichwa unavopokea call zake na kujibu text zake
Leave her for good
Otherwise mnatafuta resolution
Simpendi,ila sipendi my ex wangu wae adui zangu ndio sababu inanifanya nipokee simu yake wenda ni salamu tu.nilichogundua wewe bado unampenda
haya nenda ukatambulishweSimpendi,ila sipendi my ex wangu wae adui zangu ndio sababu inanifanya nipokee simu yake wenda ni salamu tu.