Huu ni mtego au mthiani?

Huu ni mtego au mthiani?

Nimemtongoza mdada mmoja
At the first time alinikataa akasema tayari ameolewa

Sikukata Tamaa mara ya pili tena nimemtongoza amesema ana mimba.

Nikamuuliza mimba ya nani akasema mwenye mimba amekataa..

Kwa kumpima tu nikasema ntalea mimba Fanya mtoto awe wangu.

Akasema sawa na amekubali
Ila Nina wasiwasi Hana mimba kwasababu zifuatazo.

01.Huwezi kukubaali kuingia kwenye mahusiano Hali ya kuwa una mimba.

02.anakaa na mama yake ila mimba Ina miezi minne na mama yake hajui kama ana mimba ( hii inawezekana vipi?

03.anasema jamaa aliempa mimba hajawai kwenda kwao kutoa taarifa kuwa jaamaa kampa mimba!

04.kabla ya kuonana na Mimi alikuwa yupo tayari tuone na hakuwai kuniambia ana mimba

Je Ukute ni kigezo chake Cha kupima userious wangu au kweli ana mimba??

Ni school mate Tumeachana miaka Saba ila now ndio nimepata mawasiliano yake.

Nb tupo mikoa tofauti
Naomba mawazo yenu
Kwahiyo haumuamini?

Na nadhani hayo maswali yote uliyouliza ungemuuliza yeye moja kwa moja ungepata jibu kwa haraka zaidi sana.

Ila humu watu nao watakua wanajiuliza kama unavyojiuliza wewe tu, kwahiyo mwisho wote kwa maana ya mleta mada na mchangiaji mnajikuta mnaulizana😅😅
 
Shule zifunguliwe aise hizi mada za kitoto zimekuwa nyingi.

Kama hii mada sio chai basi moja kwa moja mtoa mada ni mvulana mwenye miaka 20-27.

Wewe mtoa mada ni mvulana usiyejitambua .
 
Nimemtongoza mdada mmoja
At the first time alinikataa akasema tayari ameolewa

Sikukata Tamaa mara ya pili tena nimemtongoza amesema ana mimba.

Nikamuuliza mimba ya nani akasema mwenye mimba amekataa..

Kwa kumpima tu nikasema ntalea mimba Fanya mtoto awe wangu.

Akasema sawa na amekubali
Ila Nina wasiwasi Hana mimba kwasababu zifuatazo.

01.Huwezi kukubaali kuingia kwenye mahusiano Hali ya kuwa una mimba.

02.anakaa na mama yake ila mimba Ina miezi minne na mama yake hajui kama ana mimba ( hii inawezekana vipi?

03.anasema jamaa aliempa mimba hajawai kwenda kwao kutoa taarifa kuwa jaamaa kampa mimba!

04.kabla ya kuonana na Mimi alikuwa yupo tayari tuone na hakuwai kuniambia ana mimba

Je Ukute ni kigezo chake Cha kupima userious wangu au kweli ana mimba??

Ni school mate Tumeachana miaka Saba ila now ndio nimepata mawasiliano yake.

Nb tupo mikoa tofauti
Naomba mawazo yenu
Kwa sababu umeomba mawazo.....fungueni japo tu genge mnauza vitu mixer...mtapiga hela...
 
Hahaha nataka kufanya ivo ila unajua Nini ni mwanamke mmoja mzuri sana na sio mzuri ana sifa za kuwa mke ila anaposema ana mimba daah nimemwambia ntalea mtoto akasema sawa sasa how come amekubali kirahisi au ananipima mkuu?
One man down
 
Back
Top Bottom