Huu ni mtego au mthiani?

Huu ni mtego au mthiani?

Mr Beach Boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
1,702
Reaction score
5,115
Nimemtongoza mdada mmoja
At the first time alinikataa akasema tayari ameolewa

Sikukata Tamaa mara ya pili tena nimemtongoza amesema ana mimba.

Nikamuuliza mimba ya nani akasema mwenye mimba amekataa..

Kwa kumpima tu nikasema ntalea mimba Fanya mtoto awe wangu.

Akasema sawa na amekubali
Ila Nina wasiwasi Hana mimba kwasababu zifuatazo.

01.Huwezi kukubaali kuingia kwenye mahusiano Hali ya kuwa una mimba.

02.anakaa na mama yake ila mimba Ina miezi minne na mama yake hajui kama ana mimba ( hii inawezekana vipi?

03.anasema jamaa aliempa mimba hajawai kwenda kwao kutoa taarifa kuwa jaamaa kampa mimba!

04.kabla ya kuonana na Mimi alikuwa yupo tayari tuone na hakuwai kuniambia ana mimba

Je Ukute ni kigezo chake Cha kupima userious wangu au kweli ana mimba??

Ni school mate Tumeachana miaka Saba ila now ndio nimepata mawasiliano yake.

Nb tupo mikoa tofauti
Naomba mawazo yenu
 
Huyu demu unakuta ulikuwaga unamtaka shule ila ukamkosa sasa hivi ndio anataka kukubali 😂😂 achana nae
 
Hahaha nataka kufanya ivo ila unajua Nini ni mwanamke mmoja mzuri sana na sio mzuri ana sifa za kuwa mke ila anaposema ana mimba daah nimemwambia ntalea mtoto akasema sawa sasa how come amekubali kirahisi au ananipima mkuu?
 
anakupima kweli kwa sababu anajua unataka kula utembee na anajua soko lake liko chini sana kwa sasa, na wewe nenda kwa akili usije kufa kibudu usiweke makazi hapo.
 
Sawa kaka ushauri mzuri huu
Ety anasema anakaa na mama yake na mimba Ina miezi minne na mama yake hajui kama ana mimba na hajajamwambia inaingia akilini hii,?
 
Miaka 7 ni mingi kwa mwanamke awe amekaa tu hana mimba hana mtoto alikuwa anafanya nini muda wote na yupo kwao 😂😂
 
Alikuwa anasoma Tumeachana form four kwasasa yuko chuo last year
 
Nimemtongoza mdada mmoja
At the first time alinikataa akasema tayari ameolewa

Sikukata Tamaa mara ya pili tena nimemtongoza amesema ana mimba.

Nikamuuliza mimba ya nani akasema mwenye mimba amekataa..

Kwa kumpima tu nikasema ntalea mimba Fanya mtoto awe wangu.

Akasema sawa na amekubali
Ila Nina wasiwasi Hana mimba kwasababu zifuatazo.

01.Huwezi kukubaali kuingia kwenye mahusiano Hali ya kuwa una mimba.

02.anakaa na mama yake ila mimba Ina miezi minne na mama yake hajui kama ana mimba ( hii inawezekana vipi?

03.anasema jamaa aliempa mimba hajawai kwenda kwao kutoa taarifa kuwa jaamaa kampa mimba!

04.kabla ya kuonana na Mimi alikuwa yupo tayari tuone na hakuwai kuniambia ana mimba

Je Ukute ni kigezo chake Cha kupima userious wangu au kweli ana mimba??

Ni school mate Tumeachana miaka Saba ila now ndio nimepata mawasiliano yake.

Nb tupo mikoa tofauti
Naomba mawazo yenu
Vijana kama nyie mnaliwa chums mchicha
 
Kwani wanawake wameisha?
 
Una bahati ya kupata mke na mimba kama kifungashio,

Hongera sana Baba harusi kwa kupiga two in one
 
images (4).jpeg
 
Back
Top Bottom