Huu ni mkosi au ndo bahati yenyewe.....

Em man up and approach her if u want acha sababu...kwn mzee wako hajui km na we unapenda
 
Ukimwi utakumaliza, warembo kila cku wanazaliwa kama huridhiki nj uliyenaye hutaridhika kamwe
 
miss chagga, si unajua process ya selection lazima uwe na sample space ya kutosha, ukiwa na mmoja haitoshi kujua kama kweli upo kwenye njia sahihi, kwani wewe ukienda kununua nguo unaishia kuangalia kwenye duka moja?

JEKI tuombe radhi umetufananisha na nguo za dukani si sawa na we utaishia kuchagua mke mbaya tu........
 
OP

na imagn tu kama ukimwi usingekuepo,wala magonjwa ya zinaa yasingekuepo..
je,watu wangehubiri vipi uaminifu kwa mpenzi/mume/mke?
 
hiyo situation ni message kwamba kwenye mambo mazuri lazima changamoto ziwepo. kwa hiyo issue sio kupata mke bali ni ujumbe kwako ujue kwamba always jambo zuri inaaambatana na changamoto pembeni
 
Back
Top Bottom