Huu ndo utandawazi

Collins

Senior Member
Jul 19, 2012
145
48
kama hutaki kutumia umia kivyako

523665_409953319016721_2072877426_n.jpg
 
Aiseeeeee, inahitaji jitihada za ziada kukaa hapo na kupasua gogo mchana kweupe.
 
haiwezikani kikawa choo! Yaaani huyo dada atakaa hapo akate gogo? Basi mie sitoki hapa mpaka nimuone......
nahisi jamaa wamefanya mamodification kwa kutumia choo kutengeneza pump ya maji.
 
Back
Top Bottom