Huu ndo usingizi wa Kim Jong Un

mguu amazing sana, mapanki anajua kuchagua champagne😀😀
 
Huyu mapanki akinipa namba ya fundi wake wa masuruali atakua ameugusa moyo wangu kwa namna ya pekee, nina buti moja linaitwa teremka tuzoze linaozea kwenye kabati kwa kukosa bwanga kama hilo la mapanki.
Unajitafutia tu matatizo, utapigigwa nyuklia kama sio chakula cha dog utakopokosea kuweka kishikizo sawa, si unajua tena mafundi wa kibongo mlivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…