Midumare Ngatuni Iwato
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 1,653
- 2,052
Ex girl wake alimnyonga Ndio hakaoa huyu
Pia jamaa ni hatari
Amenyongo mjomba wake na shangazi yake
Mabinamu Zake wote
Nawatoto Wao wote amefuta kizazi chao chote
Kama jamaa anachoma fegi.....au macho yangu.................?
Hahahahhaa ndumi hivyo ni vyawakubwa mkuuDah mtoto wa ukweli sana.
Je huyo atakae kutwa ana cheat nae itakuaje unadhani?Huyu akicheat bomu la nyukilia linatua kifuani pake
Modooo mwisho ni bongo mkuu... " kule haziruhusiwi kabisa adhabu yake ni kifo ukikutwa umevaa modoNaona Korea hawavai modo
Duuuh, sio mbaya ndio utaratibu waliojiwekeaModooo mwisho ni bongo mkuu... " kule haziruhusiwi kabisa adhabu yake ni kifo ukikutwa umevaa modo
mkuu wale nahis tendo lile hawalipi kipaumbele akipiga kamoja tu kanatoshaSidhani km atakua anamfikisha watu wanene wengi huwezo wao mdogo kwenye Migegedo ukichanganyaa stress za Vita ndio kabisa hata Dushe litakua linasimama kwa kuvizia
He he heeeee,hii kali wazeekuna sehemu jamaa kavaa sarawili kama ya ally keisy
fundi wao na marehemu pepe kale ni mmpjaha ahaha ila jamaa manguo yake makubwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kuna sehemu jamaa kavaa sarawili kama ya ally keisy