Mkuu taratibu unaniua huku uwiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu mapanki akinipa namba ya fundi wake wa masuruali atakua ameugusa moyo wangu kwa namna ya pekee, nina buti moja linaitwa teremka tuzoze linaozea kwenye kabati kwa kukosa bwanga kama hilo la mapanki.
Wa kisoshalisti [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uvaaji gani huo jamani
Ndio maana huyu jamaa jeuri sana...north korean first lady
kwa jina anaitwa ri sol ju....huyu ndo anaemliwaza bwana mapank baada ya stress za marekan mchana kutwa
haha kwann mkuuNdio maana huyu jamaa jeuri sana...
Kama pepe kaleSuruali bwanga
Hapo bado sentensi haijakamilika sasa [emoji38] na ndo mana wale wenzangu wa tandale husema "hata pilipili ni kali lakini bei yake sh10Hili nalo neno.....
NK bangi imeruhusiwa na haitambuliki kama madawa ya kulevyaKama jamaa anachoma fegi.....au macho yangu.................?
NK bangi imeruhusiwa na haitambuliki kama madawa ya kulevya
Aisee huko wehu si watakuwa wengi sana...................................
Duh! hilo suluari ni bonge la bwangwanorth korean first lady
kwa jina anaitwa ri sol ju....huyu ndo anaemliwaza bwana mapank baada ya stress za marekan mchana kutwa
ndo utamu wenyewe huoo............Nimependa mguu wake tu.
Mkuu Daby kule wapo wengi wa kulenga, hebu cheki hapa. Sasa kama traffic Police unawakuta hawa barabarani, unaanzaje kwenda kwa speed, kwa mfano!! View attachment 507570 View attachment 507571 View attachment 507572