Huu ndo ukweli toka moyoni mwangu!!!!

kwani 1st born mimba inayohatarisha maisha we unaelewa vipi? Na kubakwa je?

may be umebeba mimba bt kutokana na matatizo ya binafsi hasa ya kiafya ukashauriwa na daktari uitoe, as a result labda ungekufa, hapo hakuna njia.

hujawa tayari kakulazimisha, ukabeba ujauzito.... Kwa nini utoe? Fuatilia haki zako kwa kosa ulilofanyiwa lakini kiumbe kiachwe hadi kinazaliwa.

inawezekana ni nyingi ila wahusika hawasemi. Kubakwa isiwe sababu ya msingi ya mtu kutoa mimba.

haswaaaaa!!! Hata kama umebakwa we lea bwana, mtoto anakosa gani?

habari wanajamvi!!! Hasa wa mambo ya mapenzi(mmu)

.huenda tukawa tunafana kimahisia mimi na wewe,
.huenda pia huu ndo ukweli halisi hata kwako,
.huenda ilishawahi kujadiliwa humu jamvini,
.huenda ukisoma thread hii utakereka,
but i don care......

Vyovyote vile itakavyokuwa na iwe,

nawachukia sana wanawake na wanaume wenye tabia ya kusapoti suala la utoaji wa mimba,

i dont care either you are young, student or not ready to have a child, but

kwa nini ulifanya wakati unajua kabisa ikitokea bahati mbaya utaitoa?

We mwanaume kwa nini umshauri mpenzi wako, rafiki yako, jirani, mwanao akaitoe mimba?

We mwanamke kwa nini ufanye hivyo?

Watu hamuogopi dhambi?

Watu hatuna huruma na binadamu wenzetu wachanga?

Kama ni kuzidiwa na mahisia si utumie njia mbadala badala ya kuingia nyama nyama?

Assume we ambae leo una mafanikio na unayafurahia kama ndo wangekuwa wamekutoa?

Kwa nini watu wanakuwa wabishi?
Kweli huwa sipendi, na nimechukua maamuzi haya baada ya kusoma gazeti mmoja hivi lililokuwa limetoa taarifa ya masupa star wa bongo akiwemo maimartha, wema, baby madaha, aunt ezekiel ambao wote waliripotiwa kubeba ujauzito lakini mwisho wa siku hatuoni kitu,

inaniboa sana na ninatamani ningekuwa na kibali cha kuwaangamiza niwapige wote kiberiti.

Wanajamvi kama familia mmoja hebu tujaribu kufikiri kiukubwa kuhusu suala hili.

Toa ushauri na kero yako pamoja na mchango wako wa mawazo jamvini ili tukabiliana na hili suala linalolikumba jamii zetu,

asanteni
wenu

1stborn

good idea br

labda niongezee kidogo umuhimu wa kujihadhari na mambo hayo juu ya utoaji mimba..wakati tunadfikiri akuchangia lazima nikuweke wazi wanawake wengi sasa wanateseka kupata watoto sababu ya kutoa mimba na pengine unaweza niuliza mimba ngapi ukitoa unaweza kutopata mtoto la hasha moja inatosha kukunyima mtoto milele ...how
hapa naomba mungu akupe ufahamu kidogo uelewe ninachoongea...naomba nieleze umhimu wa damu
lazima tujue wakati wa kutoa mimba tunatoa damu nyingi sana na pengine we utafurhia kutoka kwa kiumbe kiile lakini na kueleza ile damu huwa inanena

soma wabr 11:12 damu ya inanena mema..so kupitia damu hjii hii inamema mabaya kama utaenda kinyume nayo na sio hii tu kuna wakati mtu anahangaika bila kuwa na ufahaamu kwamba aslihatoa mtoto akafa sasa munguhuwa achezewi nakwambia wazi na hili nilimuweka mkewangu kabisa baada ya kuoana na kumwambia kama ulisha naomba niweke wazi tuombe toba wote kwa niaba ya ile damu ambayo huwa inasafiri damu inanena...akanijulisha wazi akuwahi lakini nikamwomba tuombe kwa kuwa una dada tuombe toba kwa niaba yao isije kisasi chao kikaja kwako tukahangaika kuona watoto...mwz 1:24 anasema enendeni ulimwenguni sio mbinguni ulimwenguni mkajazane na kuongezeka sasa hili neno tasa linatokea wapi
damu damu damu watch out..sio hivi tu

damu inaleta upatanisho..so kumbuka ukiomba toba mungu ni mungu wa rehema anakupatanisha na kukusamahe unakuwa huru kwa dam ya yesu..mungu akakuokoe na kukuongoza nakushauri kama ulimfich mkeo ama mume ulimficha mumeo kwamba uliwahi kumtoa gfriend wako/zako mimba anza sasa mweleze ukweli kumwokoa kupata watoto na sio tu mnaokoa kile kitu yaani mimba mnayoenda kupata...iwe huru kutoka vifungo vya shetan..kial la kheri nakuja baadae

thas why unaitwa Great Thinker, thanx Pdidy.

Sababu ya msingi ya mtu kutoa mimba ni ipi ama zipi?

Kuonyesha bado analipa - kua na mtoto kunabadilisha status!

Kuonyesha ni msafi - mimba/mtoto vinamuunganisha moja kwa moja na mahusiano ya kimwili.

Kukosa kuishi atakavyo - partying all night..not having to be responsible.

Kukosa soko - kuna watu wanaamini kwamba kua na mtoto ni sawa na doa ambalo litawafanya wanaume wasimtake/mpende/vutiwr nae hata kama yuko available.

Kukimbia/kukataa majukumu - lile wazo la kutegemewa na kiumbe mwingine kwa kila kitu hawalitaki.

Kuogopa kuharibu muonekano wake mbele ya jamii - bado tuna ile hali ya kumuona binti ambae amezaa bila ndoa ni mchafu!

Woga wa kutengwa na familia - familia chache sana zinaweza kumkubali binti yao aliyepata ujauzito na kumsapoti through the whole thing.

Woga wa kukataliwa/kimbiwa na wapenzi - kwa wale walio na wanaume wasiotaka majukumu.

Hofu ya kupoteza mwelekeo wa maisha - kwa wale wanafunzi wa elimu ya chini kutokana na kwamba serikali nayo inawatenga.Ukipata mimba unafukuzwa shule..,kurudi tena mpaka familia iwe na uwezo/connection.

Aibu na mengine nisiyoyajua!!!

Ohhh alafu ninjaribu tu kufikiria hizi sababu...binafsi bado naamini kama mtu hakufikiria madhara kabla ya kujiachia mpaka kupata mimba basi ni mzembe na anatakiwa akubali jukumu aliloamua kujibebesha!!!

Daaah! Wewe mkaree sana.

Ahsante sana Lizzy kwa maelezo mazuri.

Kwa upande wangu kutoa mimba na hatua ya mwisho kabisa ya mambo mengi ambayo wataalamu wanatakiwa kuyashughulikia badala ya kupapasa matokeo.

Kutoa au kutotoa, dhambi au la ni mambo ya mtu binafsi na ndio matokeo ya binadamu kuwa kiumbe huru.

Ahsante sana Lizzy kwa maelezo mazuri.

Kwa upande wangu kutoa mimba na hatua ya mwisho kabisa ya mambo mengi ambayo wataalamu wanatakiwa kuyashughulikia badala ya kupapasa matokeo.

Kutoa au kutotoa, dhambi au la ni mambo ya mtu binafsi na ndio matoke ya binadamu kuwa kiumbe huru.
Mzee DC huoni kwamba hata hicho kinachotupwa ama kutolewa kinastahili kua “kiumbe huru“ na kuchagua kama kinataka kuishi au la?!Maana maamuzi ya kutoa mimba hayamgusi mtoaji tu bali hata mtolewaji!

Sasa kwanini mtolewaji nae asipewe choice?! Kwanini ambae mzazi wake aliamua kumpa uchaguzi wa kuishi au kutokuishi anyime kiumbe kingine uchaguzi huo huo?!Huoni kwamba ni ubinafsi unaopitiliza...maana huwezi jua hicho kiumbe kingepata nafasi ya kuishi kingefanya mambo gani na kufika wapi!

Lizzy,

Hayo ni masuala mazuri sana na mazito. Hivi tunadhani kwamba wanaotoa hawajui hayo? Kama wanayajua kwa nini wanatoa?

Kuna tofauti na mfano wa daktari anayevuta sigara huku akijua kuwa inasababisha kansa? Je, kwa nini anavuta??

Mzee DC huoni kwamba hata hicho kinachotupwa ama kutolewa kinastahili kua "kiumbe huru" na kuchagua kama kinataka kuishi au la?!Maana maamuzi ya kutoa mimba hayamgusi mtoaji tu bali hata mtolewaji!

Sasa kwanini mtolewaji nae asipewe choice?! Kwanini ambae mzazi wake aliamua kumpa uchaguzi wa kuishi au kutokuishi anyime kiumbe kingine uchaguzi huo huo?!Huoni kwamba ni ubinafsi unaopitiliza...maana huwezi jua hicho kiumbe kingepata nafasi ya kuishi kingefanya mambo gani na kufika wapi!

Absolutely superb!!

Lizzy,

Hayo ni masuala mazuri sana na mazito. Hivi tunadhani kwamba wanaotoa hawajui hayo? Kama wanayajua kwa nini wanatoa?

Kuna tofauti na mfano wa daktari anayevuta sigara huku akijua kuwa inasababisha kansa? Je, kwa nini anavuta??

Mzee Dc, daktari anafanya hivyo kwa utashi wake yeye mwenyewe. But when it comes to the unborn, he or she has no say so whatsoever! So why deny him or her the same opportunity that you were afforded?

Or you want to tell me the unborn has no rights whatsoever?

Nakubaliana na wewe mkuu ila sasa katika mazingira hayo ya kutoa mimba huyo unborn anaweza kujitetea mwenyewe? Kama hawezi kujitetea mwenyewe basi anabaki katika himaya ya huyo alimbeba....Kinachoendelea sasa nadhani mbebaji ndiye anajua!

Binafsi nadhani kwamba tulio wengi tunafanya mchezo wa kuwanyoshea wenzetu kidole kimoja huku tukisahau kwamba sisi tunajishoea vitatu wakati huo huo!!

Well, mimi sijawahi kushiriki kutoa mimba kwa namna yoyote ile. Na nitaendelea hivi hivi mpaka siku nitakapovuta pumzi yangu ya mwisho hapa duniani kwani naamini hata binadamu ambaye hajazaliwa (ambaye yuko tumboni) naye anastahili kupewa haki zake za kuishi kama walivyopewa hao waliomtengeneza.

Similar Discussions

Back
Top Bottom