Huu ndo ukweli ma blogger mjipange

Huu ndo ukweli ma blogger mjipange

Nimefanya uchunguzi kidogo kwa kuangalia uelewa na uwezo wa kufikiri wa watu wanao miliki blogsport hapa Tanzania pia (blogger) pia nikaangalia article au content za blog zao nikagundua bado wengi wao wana uwezo mdogo wa kufikiri

na wamekurupuka tu kumiliki blogsport bira kuwa na VISION na Mission nikaona bado kuna ombwe kubwa sana katika kumiliki blogsport ambazo zitakuletea faida, Mambo niliyo ya gundua kwa ma blogger wengi wa TANZANIA.

1: ukosefu wa ideas au wazo why wanamiliki blogsport

2:aziko specific au azina category nzuri mfano unakuta blogsport inaitwa afya lakini wana post vitu visivyo husiana afya

3:wana amini kuwa picha za ngono ndio kivutio cha watu wengi kwa iyo wanapost picha za ngono na habari za ki puuzi tu

4:content au articles zao ni fupi azizidi maneno 700

5😛oor design

6:wana shindwa kuzitangaza

Conclusion: japo kuna blogsport nyingi tanzania ila mm naziona chache tu zenye maana

ILA nashukuru sheria mpya itawabana

mkuu sio blogsport ni BLOGSPOT, kosa dogo linaondoa kabisa maana ya kitu mpaka inakera kwa msomaji maana moja kwa moja anahisi hujui ulichokiandika.
 
Umesema vyema kingine kinachokera zaidi ni mchanganyiko wa lugha kiswahili na kingereza hivi sijui inakuwa ni kwa sababu gani....:confused2:
 
Hivi kuna chama cha bloggers hapa bongo au hata group hapa jf au kwa fb? kama halipo hebu tulianzishe na tutumie nafasi hiyo kujielimisha wenyewe kwa wenyewe
salute mkuu wewe ndo mtu unaye jielewa kuliko wengine wana kosoa lugha badala ya kuangalia point ya msingi mm nimeandika kwa lengo la kutoa changamoto maana ukweli ndo huo na hii sheria itawabana bloggers wengi sana AKSANTE MKUU
 
unakuta mtu anaandika ivi " wakubwa tu msanii bongo muvi katupia picha za u" nini sasa atuwezi fika na ndio mana ata website zina category kuna mambo mengi tu ya ku post
 
Hivi kuna chama cha bloggers hapa bongo au hata group hapa jf au kwa fb? kama halipo hebu tulianzishe na tutumie nafasi hiyo kujielimisha wenyewe kwa wenyewe

mkuu fadhili,
chama cha wamiliki/wasimamizi wa blogu kipo, kinaitwa Bloggers Association of Tanzania. Hakipo active saaana japo uwa naona wakati wa kutoa tunzo uwa kiko active.

Tunapokuja kwenye mada husika, mwandishi ameainisha mambo kadhaa. Kwa mtazamo wangu, vijana wanajaribu kutumia blogu kama njia ya kujiingizia kipato, na njia kubwa ni kupitia matangazo ambayo either ni kupitia idadi ya clicks kwenye tangazo au views za page. Njia rahisi ya kuwavuta wasomaji ni kutuandika habari za udaku, kuweka picha zisizo na maadili na kutumia lugha ambayo si ya maadili. Wanayaandika haya kwa kuwa ndio hasa watu wanapenda kuyasikia,

ukiangalia blogu/wavuti nyingi zinaandika habari za kufanana au habari za kunakili (Plagirism)

nini kifanyike.
wamiliki wa blogu wapewe elimu kuhusu uandishi, maadili ya uandishi kabla ya kuanza kuandika.

kama inawezekana blogu ziwe zinachagua topic/subject za kuandika specifically(niche)

Kuna njia za kufanya blogu yako iwe maarufu kama ambavyo muanzisha mada ameainisha pale juu kama muonekano mzuri wa tovuti, lugha na mpangilio mzuri wa uandishi, niche, kujitangaza

simu imeisha chaji, ntaendelea nikiwa kwenye pc
 
Hongera sana mkuu, wewe ndie uliolitambua hasa tatizo husika, pia nini maana soko huria, UTAUZA KILE TU KINACHONUNULIWA, NA wala si vinginevyo kwa maana HUUZI KWA MATAKWA YA MUUZAJI BALI KWA MAHITAJI YA MUNUNUZI, Wateja walioko sokoni wananunua habari hizo zisizo na maadili (ngono) sio ujuzi wako wa kuunda blog nzuri ya maadili, NAMUOMBA HUYO MLETA MADA ATUONYESHE YAKE ILIYO BORA KULIKO HIZI ANAZO DHARAU, Huo ni upuuzi tu BLOGERS WAKO VIZURI wataendelea pole pole kadri jamii invyobadilika,,,,
 
mkuu fadhili,
chama cha wamiliki/wasimamizi wa blogu kipo, kinaitwa Bloggers Association of Tanzania. Hakipo active saaana japo uwa naona wakati wa kutoa tunzo uwa kiko active.

Tunapokuja kwenye mada husika, mwandishi ameainisha mambo kadhaa. Kwa mtazamo wangu, vijana wanajaribu kutumia blogu kama njia ya kujiingizia kipato, na njia kubwa ni kupitia matangazo ambayo either ni kupitia idadi ya clicks kwenye tangazo au views za page. Njia rahisi ya kuwavuta wasomaji ni kutuandika habari za udaku, kuweka picha zisizo na maadili na kutumia lugha ambayo si ya maadili. Wanayaandika haya kwa kuwa ndio hasa watu wanapenda kuyasikia,

ukiangalia blogu/wavuti nyingi zinaandika habari za kufanana au habari za kunakili (Plagirism)

nini kifanyike.
wamiliki wa blogu wapewe elimu kuhusu uandishi, maadili ya uandishi kabla ya kuanza kuandika.

kama inawezekana blogu ziwe zinachagua topic/subject za kuandika specifically(niche)

Kuna njia za kufanya blogu yako iwe maarufu kama ambavyo muanzisha mada ameainisha pale juu kama muonekano mzuri wa tovuti, lugha na mpangilio mzuri wa uandishi, niche, kujitangaza

simu imeisha chaji, ntaendelea nikiwa kwenye pc

Mawazo chanya na yenye kuendeleza, asante mkuu. Tadadhali ukipata muda pitia hapa unipe mrejesho
www.healthandlifetz.com
 
hongera sana mkuu, wewe ndie uliolitambua hasa tatizo husika, pia nini maana soko huria, utauza kile tu kinachonunuliwa, na wala si vinginevyo kwa maana huuzi kwa matakwa ya muuzaji bali kwa mahitaji ya mununuzi, wateja walioko sokoni wananunua habari hizo zisizo na maadili (ngono) sio ujuzi wako wa kuunda blog nzuri ya maadili, namuomba huyo mleta mada atuonyeshe yake iliyo bora kuliko hizi anazo dharau, huo ni upuuzi tu blogers wako vizuri wataendelea pole pole kadri jamii invyobadilika,,,,

lengo langu si ku dharau blogspot zenu bali ni ku angalia uwezo wa baadhi ya bloggers asa ktk uwezo wa kufikiri wengi wana fungua blogspot kwa ushabiki tu na ndio maana makampuni makubwa yanashindwa ata kuwaletea matangazo
 
mkuu fadhili,
chama cha wamiliki/wasimamizi wa blogu kipo, kinaitwa bloggers association of tanzania. Hakipo active saaana japo uwa naona wakati wa kutoa tunzo uwa kiko active.

Tunapokuja kwenye mada husika, mwandishi ameainisha mambo kadhaa. Kwa mtazamo wangu, vijana wanajaribu kutumia blogu kama njia ya kujiingizia kipato, na njia kubwa ni kupitia matangazo ambayo either ni kupitia idadi ya clicks kwenye tangazo au views za page. Njia rahisi ya kuwavuta wasomaji ni kutuandika habari za udaku, kuweka picha zisizo na maadili na kutumia lugha ambayo si ya maadili. Wanayaandika haya kwa kuwa ndio hasa watu wanapenda kuyasikia,

ukiangalia blogu/wavuti nyingi zinaandika habari za kufanana au habari za kunakili (plagirism)

nini kifanyike.
Wamiliki wa blogu wapewe elimu kuhusu uandishi, maadili ya uandishi kabla ya kuanza kuandika.

Kama inawezekana blogu ziwe zinachagua topic/subject za kuandika specifically(niche)

kuna njia za kufanya blogu yako iwe maarufu kama ambavyo muanzisha mada ameainisha pale juu kama muonekano mzuri wa tovuti, lugha na mpangilio mzuri wa uandishi, niche, kujitangaza

simu imeisha chaji, ntaendelea nikiwa kwenye pc

aksante mkuu kwa uelewa wako kusema ukweli bado kuna changamoto kubwa sana
 
Pitia hapa kiongozi unipe feedback www.healthandlifetz.com

hipo vzuri kwa sababu umezingatia yafuatayo
1:umekuwa specific yani una deal na mambo ya afya na maisha(life style)
2:content zako au article zipo full maana ata google ili waweke advertisement zao wanaitaji article au contents zenye maneno yasiyo kuwa chini ya 700 worda not less than 700 words
ila ushauri lazima ujue yafuatayo
1: target viewer wako ni nani kuanzia age limit na language ya viewer ili usije kuwa una post vitu lakini wengi awavijui
2:lazima ujue idadi ya watu wanaotembelea kwa siku
3😛ia uitangaze na kuna njia nyingi ya kuitangaza mfano unaweza kuwa na twitter acc fb acc au instagram ukawe una share vitu
 
Umesema vyema kingine kinachokera zaidi ni mchanganyiko wa lugha kiswahili na kingereza hivi sijui inakuwa ni kwa sababu gani....:confused2:

tatizo ndio watu walivyozoea bila kuchanganya kingereza kidogo anahisi bado ujumbe haujafika.... japo inawezekana ndio baadhi ya maneno kuyatafsiri kwa kiswahili ni vigumu .
 
kama ile rahatupu chama la wana kazi kazi ile naye vipi saiv na sheria mpya nazani itafungwa. tu
 
hipo vzuri kwa sababu umezingatia yafuatayo
1:umekuwa specific yani una deal na mambo ya afya na maisha(life style)
2:content zako au article zipo full maana ata google ili waweke advertisement zao wanaitaji article au contents zenye maneno yasiyo kuwa chini ya 700 worda not less than 700 words
ila ushauri lazima ujue yafuatayo
1: target viewer wako ni nani kuanzia age limit na language ya viewer ili usije kuwa una post vitu lakini wengi awavijui
2:lazima ujue idadi ya watu wanaotembelea kwa siku
3😛ia uitangaze na kuna njia nyingi ya kuitangaza mfano unaweza kuwa na twitter acc fb acc au instagram ukawe una share vitu

Asante sana mkuu.. Kuhusu swala la lugha kuna option ya kubadili lugha kama tano au sita ikiwemo Kiswahili . Pia nipo insta, Facebook na twitter kwa jina hili hili.. Sema nataka pia nitumie Adword kujitangaza zaidi..
 
pole msaidie kumrekebisha uenda vidole vyake katika kutype vilishika sehemu isiyo mkuu

halafu umepotea siku hizi kulikoni tena ndo mkosoano?
kutoka moyoni nakwazika na watu wanaoandika maneno kimakosa hata kama maneno yako wazi kabisa, nimeshindwa kuchangia huu uzi baada ya kusoma maneno kama blogsport, bira.
 
Back
Top Bottom