Huu ndo ukweli acha niuseme

Huu ndo ukweli acha niuseme

Kama lipi hilo tusi?? sorry lady, you are not being real here! I guess you are a good girl/lady and you don't have to be like this.

If you insist, I will do it cute.....

Sasa kwanini ni-insist wakati ulisema utafanya chochote nachokwambia mkuu?
 
Humu ni kuongeza idadi tu ya wachumba, au ni vile unakuta mtu ashatembea na mtaa mzima anataka kubadili ladha
 
Kama lipi hilo tusi?? sorry lady, you are not being real here! I guess you are a good girl/lady and you don't have to be like this.

If you insist, I will do it cute.....
Uyo unaye mwita kyuti unaweza kukuta ni Bibi yako in a real life[emoji3][emoji3] new comer bhana mnamatatizo
 
Habari wana MMU.
Acha niende moja kwa moja kwenye mada bila kuwachosha, niwashukru uongozi mzima kwa kuanzisha jukwaa la love connect, maana mmekuwa msaada katika kundi fulani..

Maana binafsi naamini walioko humu JF ndo wale wale tulionao mtaani.
pili naamini kuwa mapenzi huanzishwa popote pale.
Ila leo naomba niseme wazi bila kupepesa macho kuwa wale wote wanaotafuta wapenzi mtandaoni wana kasoro nyingi kuliko mazuri yao.
Siamini kama kijana ambaye ni mfano wa kuigwa katika jamii inayomzunguka, mwenye maadili mema, tabia njema mcha MUNGU anaweza kukosa mke/ mume katika jamii inayomzunguka mpaka kutafuta mtandaoni.

Hivi kweli ukose katika makundi haya.
Unaosali nao, uliosoma nao,wafanyakazi wenzako, marafiki zako na jamii inayokuzunguka utafute usiyemjua?

Na ndo maana mara nyingi hata humu wanaotafuta wenza wengi wao umri unakuwa umewatupa mkono,single mother au waliokosa mke/mume sabb ya tabia zao na ndo sabb huja humu kwa ID mpya.

Kijana mwenzangu nachoweza kukushauri ni kubadili muenendo wako wa maisha unayoishi ili sifa zako ziweze kumvutia kila kijana anayesimama mbele yako..

NB: sijawaongelea wale walionza kama marafiki humu na baadae kuwa wapenzi.


Sent using Jamii Forums mobile app
ssssssssssssssssaaaaaaaaaaaaaaaaaafffffffffffffffffffffffffiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Uyo unaye mwita kyuti unaweza kukuta ni Bibi yako in a real life[emoji3][emoji3] new comer bhana mnamatatizo
Have respect and mind your business, mongol!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hiyo NB ndo imefunga uzi! No comment mkuu
 
Back
Top Bottom