zegamba180
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 820
- 544
Kazi kweli kweli!huyu ni expert memba
Ha ha ha. Ndio Mkuu, tunae toka 2014!huyu ni expert memba
kweli mapenzi pesa mengine poyoyo tu..Pesa, tukiona wallet imejaa tu hali inakuwa si nzuri maeneo fulani.............
Pesa, tukiona wallet imejaa tu hali inakuwa si nzuri maeneo fulani.............
Pesa, tukiona wallet imejaa tu hali inakuwa si nzuri maeneo fulani.............
Samahan mkuu upo darasa la ngapiWanaume tuna udhaifu sana na maeneo haya ya wanawake; miguu mizuri, mapaja, tukiona chupi, ama wanawake wakikaa vibaya. Hali inakuwa si nzuri maeneo yetu fulani.
Je, Nanyi wanawake mnavutiwa na nini kwetu?
Siku hizi sijui wamekula maharage ya wapihuyu ni expert memba