Nilikuwepo hapo last month,gorofa kweli ni zuri,ila sasa kodi ni kwa skwea mita,imagine yaani ghali kinyama.
Mbaya kabisa,ni mafao yetu ya NSSF,ambapo hela zangu zinatumika kujengea gorofa lenye kodi kubwa,na mi sipati share yeyote itokanayo na matumizi ya fungu langu.
Tena,bila hata kufanya makubaluano yeyote juu ya matumizi ya hela yangu,wanajuaje kama sitaki kuwekeza pesa zangu kwenye majengo kama hayo?
Hii imenipelekea kufikiri kwamba,hata ule mpango wa fao la kujitoa ni kwa sababu ya matumizi haya ya fedha ambazo wamejengea manengo yasio kodishwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.