Huu ndiyo uzalendo?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huu ndiyo uzalendo??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kigarama, Oct 29, 2009.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2009
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kila mara humu ndani kunakuwa na hoja mbalimbali zinazohusu mustakabali wa nchi yetu. lakini katuni hii ya Masudi, al maarufu Kipanya ndiyo imemaliza kila kitu kuhusu utanzania wetu.

  juzi tulikuwa na uchaguzi wa Serikali za mitaa, uliza humu ndani wangapi waligombea na wangapi walipiga kura. Tumebakia kulalama na kubwabwaja tu na kudhani mabadiliko yatajitokeza kwa kupiga porojo humu barazani! Thubutuuuu!!
   

  Attached Files:

 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2009
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Duh!!! haya bwana
   
Loading...