Huu ndiyo utamu wa CCM...

Huu ndiyo utamu wa CCM...

Hivi nyie watu zimo mukichwa kweli?

Yaani niache kupiga box huku niende Mufindi kupasua mbao?

Naona sasa tumechokana

Kumbe box zinalipa sana huko ughaibuni bwana Chris Lukosi, tulengesheane basi michongo hiyo. Ila naona kama umeidharau sana kazi ya mbao kwi kwi kwi.
 
Last edited by a moderator:
bravo CCM. Ni ulaji kwa kwenda mbele. Si unajua chaguzi zinakaribia ? Lazima tuwe na hela za T-Shirts na capelo kwa ajili ya vidampa wetu. Tunawashauri hao wa Mufindi waachane na kupasua mbao - uzeni kura zenu kwa CCM kwa bei mbaya na fedha mtapata ili muache kupiga kelele.
 
Back
Top Bottom