Huu ndiyo utamu wa CCM...

Hii ndo ilimfanya Chris Lukosi aone kuwa Tanzania imeendelea sana ndo maana akarudi CCM. Kweli ukiwa na akili za KiCCM ni kama umelaniwa
 
Naona kwenye huu uzi Magamba hawajitokezi..
 
Nilikuwa nashangaa sana kwanini lukosi ajitoe ufaham kiasi kile? Kumbe nae ukoo wa panya!!
 
Duh kweli hata ukiishiwa nguvu za kiume utaisingizia CCM.
 
Siku kukitokea moto hivi wataomba msaada wa vijiji vinavyozunguka kusaidia kuuzima? Hawajui umuhimu wa Corporate Social Responsibility
 
Mtani wangu Lukosi bana...... Kumbe ni Kifisadi hiki, Ex-Police ni Fisadi.
 
hivi haya mapovu yanayomtoka lukosi humu jf unadhani ni bure ? Ccm wako tayari kuwapa vibali wachina kuliko wazalendo ! Tuungane kumtokomeza huyu shetani .
 
Mtani wangu Lukosi bana...... Kumbe ni Kifisadi hiki, Ex-Police ni Fisadi.

mkuu , kumbe siku zote hujajua tu , kama una akili timamu na una hofu ya mungu huwezi kuwa mwanaccm , ukimuona wa hivyo ujue si bure .
 
Andaeni kura zenu, vibali hivyo ni vya miaka miwili tu.
 
Mlichokosea ni kutaka kwenda mahakamani. Nani aliwadanganya kuwa haki kama hizo zinapatikana mahakamani Tz hii...

Wanyalu na nyie mmezidi kuwa wapole, ngoja wawaonyeshe...
 
kama kuna dhambi isiyo weza kusamehewa na vizazi vijavyo ni kupigia kura MaCCM, au chama cha kifisadi, au wauza sembe, ua masogange....
 
Kumbe Chris Lukosi ni fisadi,ndiyo maana anakifagilia sana chama cha mafisadi(ccm) humu ndani

unadhani kilichompeleka CCM nini,kule kuna fursa za wizi,ulaghai,zuluma....
na ndio maana toka hili bandiko liwekwe hapa hajaruka jf
 
Mlichokosea ni kutaka kwenda mahakamani. Nani aliwadanganya kuwa haki kama hizo zinapatikana mahakamani Tz hii...

Wanyalu na nyie mmezidi kuwa wapole, ngoja wawaonyeshe...

Wanaipenda CCM kama nini cjui!!! Ona matokeo ya chaguzi zilizofanyika 16/06/2013:

Kata ya Mbalamaziwa wilaya ya Mufindi: CCM kura 1420; CDM kura 184

Kata ya Ng'ang'awe wilaya ya Kilolo: CCM kura 686; CDM kura 217.

Sasa wanalalamika nini kina Lukuvi kuchukua vibali???
 
Hivi nyie watu zimo mukichwa kweli?

Yaani niache kupiga box huku niende Mufindi kupasua mbao?

Naona sasa tumechokana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…