Yaani huu ndiyo ukweli halisi Polisi siyo wote wanapinga maandano na siyo Wanachama wote wanapinga maandamano bali wengi hawapendi jinsi inchi inavyoendeshwa na Rais
Ni vile wakati wa Magufuli wengi wapinzani walikuwa wanaridhisha na kazi aliyokuwa anafanya kupambana na mafisadi,kinachotakiwa tu apatikane mtu wa kulianzisha watu watajaa mabarabarani