Mkuu huo kweli upo wapi naona unalalamika tu dhidi ya magazeti.
Kukata mzizi wa fitina tuambie rais wa mioyo yenu yupo wapi.
Kwa njia yeyote ile ulitakiwa kuonyesha Dr.Slaa na Mnyika wapo wapi ili watu wasiendelee kuhoji.
Ahasante.
ofisini .
Mkuu huo kweli upo wapi naona unalalamika tu dhidi ya magazeti.
Kukata mzizi wa fitina tuambie rais wa mioyo yenu yupo wapi.
Kwa njia yeyote ile ulitakiwa kuonyesha Dr.Slaa na Mnyika wapo wapi ili watu wasiendelee kuhoji.
Ahasante.
du Dr kachoka tena? hili tukio ni fundisho kwetu na litufundishe kusikiliza na kuheshimu maoni ya wengine. cdm is full of egocentric people km watoto wadogo kuanzia uongozi hadi mashabiki wake. kila mtu mwenye mawazo tofauti na wao kwao ni gamba au msaliti. philosopher mmoja alisema ukizungumza na watu wawili mmoja akakubaliana na ww mwingine asikubaliane umpe attention ya kumsikiliza yule asiyekubaliana na ww sababu huyo ana kitu kipya. bahati mbaya sana nchi zetu hizi hata ndani ya ccm n serikali kuuliza/ kutokukubaliana na mkubwa ni kosa na utakua msaliti kuliko maeazo. jamani tujenge tabia ya kusikiliza mawazo tofauti na yale tunayoyaamin( mara nyingi huwa ni migogoro ) ambayo haswandio yanayoleta maendeleo. au tupo ufalme wa giningi?Ah huyu dokta kachoka aachie watu waendelee..naona yeye mwenyewe anapenda hii media frenzy.Kama anaunga mkono si afanye press conference hata ya dk5 kumaliza umbea.Na kama haungi mkono si aseme!Tatizo wanasiasa wanapenda kuwa vichwa vya habari.Eti mke wake anamjibia afu yy yupo kimya.Kweli huyu ndo alitaka awe raisi??ili mke alihutibie taifa au?
Sipo against CDM ila
Dr.Slaa ni so Old News!
OK mkuu nimekupata....let's hope for the best!huyo jamaa ni mtu wa karibu wa dr slaa na wanafanya kazi ofisi moja (cdm) kama assistant wake,so anacho kieleza hakina shaka hata chembe,kabla haja post huu uzi nilikua naongea nae nika muuliza kulikoni kuhusu habar za dr slaa? akacheka sna na kuni ambia dr yupo achana na uzushi wa magazeti.kukaa kimya kwa dr slaa ni mkakati wa kisiasa ili kuvuta umma kufatilia cdm na kumtoa magufuri kwenye mind za watu kwa kipindi hiki.
jiulize who talks about magufuri kwa wiki nzima hii?
Mleta mada wala usipatwe gadhabu. Wala mimi sina sababu ya kulumbana hapa. Nilichoposti juzi ndicho hicho hicho ninachoendelea kukisimamia. Hili ni suala la muda tu. Muhimu ni kuwa Dr. Slaa ameiacha Chadema, basi. Huo ndiyo ukweli hata kama kwako na wengine wa aina yako ni mchungu. Hapa hatuleti ushabiki, isipokuwa uhalisia wa mambo. Time will tell.
OK mkuu nimekupata....let's hope for the best!
Huyo jamaa hataweza kukujibu wapi alipo Rais wa mioyo yao. Yeye anadai habari ni uzushi lakini hasemi Rais wa mioyo yao Yuko wapi
hasaidii mgetuambia wapi dr slaa na kwnn hajitokezi
Leo kuna thread yenye makala ya Dr Lwaitama kuhusu Lowassa kuhamia Ukawa. Dr Lwaitama ameeleza kuwa chama cha ACT ni mradi wa CCM kuvuruga upinzani wa kweli. Na gazeti la Raia Tanzania na ACT ni mradi mmoja. Hivyo usishangae propaganda kama hizi kutoka kwenye hili gazeti.
Mkuu huo kweli upo wapi naona unalalamika tu dhidi ya magazeti.
Kukata mzizi wa fitina tuambie rais wa mioyo yenu yupo wapi.
Kwa njia yeyote ile ulitakiwa kuonyesha Dr.Slaa na Mnyika wapo wapi ili watu wasiendelee kuhoji.
Ahasante.
Nyumbu mbona mnalialia kwan mlijipangaje?
Tuambien basi Dr Slaa yuko wapi?