Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,299
- 4,700
Mkuu huo kweli upo wapi naona unalalamika tu dhidi ya magazeti.
Kukata mzizi wa fitina tuambie rais wa mioyo yenu yupo wapi.
Kwa njia yeyote ile ulitakiwa kuonyesha Dr.Slaa na Mnyika wapo wapi ili watu wasiendelee kuhoji.
Ahasante.
Huyo jamaa hataweza kukujibu wapi alipo Rais wa mioyo yao. Yeye anadai habari ni uzushi lakini hasemi Rais wa mioyo yao Yuko wapi